matibabu ya kisukari

matibabu ya kisukari

Utalipigwa tu...hao wanazibaziba tu lkn hawatibu...
 
habarini wadau nasikia sikia sana huu ugonjwa una tiba yake?!

Fika hospitalini kwa daktari ufanyiwe vipimo na kama utabainika kuwa na tatizo hilo utashauriwa njia sahihi ya matibabu.

Matibabu ya kisukari yako katika kubadili mtindo wa maisha (kuzingatia mlo, mazoezi, kuepuka matumizi ya pombe na sigara, nk) na au kutumia dawa.

Kila la kheri.
 
shukurani jibu sahihi sana
 
Nilifika sehemu flan jamaa mmoja akawa ananiambia dawa ya kisukari ya mitishamba ipo kuna mzee anaifaham nikafanya upelelezi wangu nikagundua watu wa pale kuhusu kisukari kuwa na dawa siyo jambo geni kwao ni kitu ambacho wanauhakika nacho.

Nimemtumia ndugu yangu dawa ngoja nisubiri akimaliza dozi nione kama atapona
 
Tiba NAMBA Moja nikufunga (water fasting ) then mitishamba/herbs sahihi na muongozo sahihi unapoona ndani ya 90 days.
 
Back
Top Bottom