Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
habarini wadau nasikia sikia sana huu ugonjwa una tiba yake?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habarini wadau nasikia sikia sana huu ugonjwa una tiba yake?!
shukurani jibu sahihi sanaFika hospitalini kwa daktari ufanyiwe vipimo na kama utabainika kuwa na tatizo hilo utashauriwa njia sahihi ya matibabu.
Matibabu ya kisukari yako katika kubadili mtindo wa maisha (kuzingatia mlo, mazoezi, kuepuka matumizi ya pombe na sigara, nk) na au kutumia dawa.
Kila la kheri.