Matibabu ya Lissu: Wasiojulikana na maswali yasiyojibika

Matibabu ya Lissu: Wasiojulikana na maswali yasiyojibika

Baija, heading ingekuwa, matibabu ya Lissu, maswali yasiyojibika, na sio wasiojulikana!.

Kama ni kuwahusu wasiojulikana, wako wa aina mbili.
1. Wasiojulikana
2. 'Wasiojulikana'
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums
P.
Hatutoshangaa ukipata uteuzi na huyo anayejiita "kichaa" then utendaji wako ukawa kama wa bashite au muro huku ukitegemea policcm na kuwaamuru watekeleze maagizo yako pale unapokuwa unawashwa mikono...
 
Ombi linaweza kukubaliwa au kukataliwa! Je members uliowaomba walikupa jibu gani?
Kiswahili kina upungufu wa vocabulary, neno ombi linaweza kuwa asking, begging, seeking permission, au kutoa tuu taarifa, ombi langu halikuwa asking permission, bali kutoa tuu taarifa kuwa sitazungumzia chochte kuhusu kilichojiri Dodoma, na ombi ni kuwaomba msiniulize, na sio kuwaomba ruhusa ya kusema au kutosema!.
P,
 
Nimekosa usingizi nikaamua nianzishe thread hii.

Tujiulize, hivi Spika Ndugai anaposema Tundu Lissu hawezi kuhudumiwa na bunge katika matibabu yake kwa sababu alikiuka taratibu za kwenda kutibiwa nje, ana msingi gani katika hoja yake, ikiwa:

- Baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi na kufikishwa hospitali hadi kwenda Nairobi, alikuwa hajitambui wala kufanya maamuzi yoyote kuhusu maisha yake!!

- Je, anaadhibiwa kwa kupoteza fahamu?

- Ikiwa ni CHADEMA au familia yake walifanya maamuzi haya, kwani yanamhusu nini Lissu na haki zake ikiwa Chadema na Familia siyo wabunge? Kwa nini serikali isiwachukulie hatua Chadema na familia kwa kumtorosha mbunge wake bila ridhaa ya bunge/serikali?

- Nakumbuka kusoma salaam za pole kutoka kwa Mheshimiwa Rais kwenda kwa Lissu na familia baada ya tukio; je kwa salaam hizo si Rais alitaka Lissu apone? Angeponaje bila kwenda hospitali?

- Nakumbuka mmoja wa madaktari waliomtibu Lissu Dodoma ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya. Kama Lissu angepelekwa DSM kama Ndugai anavyodai, si Katibu Mkuu huyu huyu ndiye angetoa kibali cha Lissu kwenda nje?

- Hivi hospitali ya Muhimbili ni majengo au ni wataalam ambao sasa ndo hawa waliomtibu Lissu huko Dodoma na bahati nzuri sasa Dodoma ndiyo DSM ya taifa?

- Kwanini serikali inaonekana kujibambikizia kesi hii mbaya mbele ya umma? Kumnyima matibabu, kukataa uchunguzi wa ndani na wa nje, kung'oa CCTV camera, kuzuia watu wasimuombee, kuzuia watu wasivae t-shirt za Lissu, kumtukana hata kama ni mgonjwa, n.k. Mbona hizi ni dalili za serikali yetu kujibambikizia kesi? Nilidhani mwenye jinai mjanja huwa anakuwa wa kwazna kufika kilioni.

- Kwanini serikali inalikuza mno suala hili? Kwa nini haijifunzi kutokana na historia, kwamba, mambo yaliyofumbiwa macho na serikali iliyopita, serikali hii imeyafukua na kuyachukulia hatua? Nani ataizuia serikali ijayo kuyafukua haya?
Vichaa hawanaga uwezo wa kutafakari kwa kina
 
sielewi hili andiko lako kamanda umeliandika kama unakimbizwa vile..yaani sielewi mantiki ya swali lako..yote umeyaongea mbona yana majibu na majibu yameshatolewa zaidi ya mara mbili tatu..sasa sielewi unajifanya hujayaelewa au huelewi lugha au una matatizo yabkutoelewa au una matatizo ya akili au umevurugwa na kitu au una matatizo ya kimaisha....hahahha..
nikwambie tu kwa ufupi serikali nadhan inafanya kazi kwa kufuata sheria kanuni na taratibu walizojiwekea...fullstop..! na taratibu hizi kwa makusudi kabisa viongoz wa chadem na familia walizikataa kuzifuata..nadhani kwa nia nzuri kulingana na hoja zao kwamba..mtu wao wanaweza kwenda kummalizia hospitali..kwa hisia tu kwamba watu wa serikali ndio wametenda lile..fikra potofu kabisa..kamani suala la kummalizia nadhani hilo lingetendeka pale dodoma hospital..wale madaktari na hata yule katib mkuu afya asingejitolea kuingia theatre kujaribu kuokoa maisha ya Lissu..sasa maadam waliamua wenyewe kukiuka utaratibu kwa kujua kwamba suala la matibabu watalimudu..why now kuanza kulialia kama watoto wadogo bana..!! msituchoshe na nasema tena msituchoshe..msitufanye sisi ni watoto wadogo..
sasa kesho njoo tenana andiko hili uulize hayahaya..
 
Hili suala la Lisu litaanza kushughulikiwa rasmi magufuli "akitoka" madarakani. Sijatumia neno akimaliza muda wake manake wote tunajua kwamba anaweza kumaliza muda wake ila asitoke madarakani. Kwahiyo tumuombe Mungu ili magufuli atoke madarakani mapema
upumbaffff mtupu..!! hoja ndani ya chama tu za kukandamiza demokrasia zinawashinda. mmemuacha mwemyekiti wa milele anayewapiga mabilioni yasiyojulikana yanaliwaje..uliza CAG.. mnakimbilia hoja ambazo hamziwezi...hahahahah...wajinga ndio waliwao
 
Uko sahihi "Pepat" Kwa matendo Kama haya aliyofanyiwa Lisu, na mengine, hata sasa unaweza kuona dhahiri kuwa Kuna hofu iliyotanda. Angalia ulinzi katika misafara ndiyo utatambua uhalisia wa haya. Ni hofu kila kona. Na kwa hofu hii kuondoka madarakani ni majaliwa.
Hivi inakuwaje kiongozi aliyechaguliwa na watu alindwe utadhani alipata madaraka kutoka msituni!!!?
Ukiwauliza wapambe watakuambia ulinzi huu Ni dhidi ya maadui wa nchi. Maadui gani zaidi ya wale waliokuwepo wakati wa Mwalimu Nyerere. Wakati huo kulikuwa na hatari ya vifo vya Marais kutokana na misimamo yao aidha Mashariki au magharibi. Bado Nyerere alikuwa Ni mtu wa watu na ulinzi wake ukiwa usitisha Kama huu wa wazalendo wetu.
 
upumbaffff mtupu..!! hoja ndani ya chama tu za kukandamiza demokrasia zinawashinda. mmemuacha mwemyekiti wa milele anayewapiga mabilioni yasiyojulikana yanaliwaje..uliza CAG.. mnakimbilia hoja ambazo hamziwezi...hahahahah...wajinga ndio waliwao
Ulichoandika hapa hakihusiani na mada maana kinachojadiliwa humu ni matibabu ya Lissu si cheo cha mwenyekiti au ruzuku jaribu kuelewa kabla ya kuandika usikurupuke
 
Ulichoandika hapa hakihusiani na mada maana kinachojadiliwa humu ni matibabu ya Lissu si cheo cha mwenyekiti au ruzuku jaribu kuelewa kabla ya kuandika usikurupuke
Umenisaidia kumjibu, nimetafuta maneno mazuri ya kumsaidia kuelewa nimekosa
 
Kwa sasa hakuna jibu ambalo litatolewa na kuwalidhisha watanzania kutoka serikalin na hakuna swali litakalourizwa na kuishtua serikali maana wao ndio wameamua iwe hivyo
 
Mkuu Baija, nchi inaongozwa kama familia, hata wewe ukiwa nyumbani, kama mtoto wa kiume unaejitambua, siku mama yenu amesafiri kwenda kijijini kwao kusalimia, huku nyuma baba akaingiza mgeni, na ukamuona. Kumbe yule mgeni aliacha chumbani kwa baba nguo yeke fulani, bila baba kujua, ama kwa kusahau kwa bahati mbaya ama kwa makusudi ili mwenye nyumba ajue hayuko peke yake.

Mama aliporudi, kukaibuka ugomvi mkubwa kati ya baba na mama kuhusu hiyo nguo imetoka wapi na imeachwa na nani?.

Baba kamwambia mama hamjui mwenye nguo hiyo wala hajui imeingiaje,labda watoto au msichana wa kazi alijichanganya.

Kwa vile wewe uliona picha nzima, jee utamweleza mama ukweli wa ulichoona?.

Hiyo ndio essence ya wasiojulikana hawa
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums

Kama baba amesema hajui nguo imefikaje, who are you kusema imefikaje?.

Kama yule aliyemshikia Nape bastola naye hajulikani mpaka leo anatafutwa na polisi, what are the chances kuwabaini julikana wa Lissu?.

Wana familia bora, wanamwamini baba mwenye nyumba, hata kama wewe ulimuona mgeni wa baba, lakini hukumshuhudia wakati akiivua hiyo nguo na kuiacha uvunguni mwa kitanda chumbani kwa baba, hivyo kama baba kasema hajui, then it migh be true, baba hajui, na hiyo nguo iliachwa siku nyingi nyuma na mgeni mwingine ambaye hata wewe hukumuona.
P
Hivyo nilitoa angalizo hili
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Kwenye hili la kuwabaini wasiojulikana wa Tundu Lissu, serikali yetu imeshindwa, nilisema humu, kwa vile tupo watu wenye uwezo kuisaidia serikali yetu iweze kuwabaini, nikauliza jee tujitolee tuu kuwabaini na kuwataja, kuisaidia serikali yetu au tuisubiri, serikali iseme imeshindwa ndipo isaidiwe?.

WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

P .
Ndugu P ni nini point yako, unawweseka naona
 
Paskali, mwanzoni nilidhani na wewe huwajui "Wasiojulikana" na Wasiojulikana. Lakini nimeacha imani hiyo. Unawajua wote wa aina mbili na ndo maana unakimbilia kukosoa thread yangu badala ya kujikita na maswali niliyouliza. Na kisa cha serikali kukataa wachunguzi huru (wa nje au ndani), ni kwa sababu inajua kina Paskali tayari wanawajua waliohusika. Kuwajua si lazima ushiriki matendo yao, bali wako wanaowajua watu kwa kuwa victims wao kama wewe. Watu kama wewe mlipata fursa ya kukutana nao na kuonywa kutowasema. Ndo maana dana dana zako zimezidi sana. Kila wakati unaanzisha thread unazodai ni "nutro" ili "kunyutrolize" wenye kiu ya kuwajua.

Ndugu yangu Paskali, maisha ya mtu hayahitaji balancing, neutrality wala partisanship. Kuwa hivyo ni sawa na kuwa upande wa wasiojulikana. Haiwezekani kuwa watu hawa hawajulikani. Kuna aliyeagiza, aliyeona inaagizwa, aliyetekeleza, aliyeona inatekelezwa, na anayejifanya hakuona wala kusikia. Hawa ni wengi mno kuwaficha. Hata kama Tundu Lissu ni jambazi, mhaini, jangiri, na gaidi - angepelekwa mahakamani akahukumiwa na sote tukashuhudia akitundikwa risasi hadharani kulipia uovu wake.
Safi sana kwa kumpa za uso huyu mnafiki
 
Back
Top Bottom