ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Nani amewahi kemea watu kutekwa? Rais yupi huyo?Wanaomtukana ni wakenya baada ya kusema kuwa wao hawana adabu sasa acha wamfunze adabu. Na Mbowe akiwekwa ndani na Jiwe na sio chura kiziwi pia kauli zake za kuita watu JITU watu watakujibu sawa sawa na unavyo wachukulia. Watu wanatekwa umesikia akikemea eti kifo ni kifo. Kabisa 😆😆😆😆 yaani watu wamebadhiri pesa za umma una tuambia watumishi walio vujisha sio wazalendo bali majizi ndio wazalendo.
Anastahili anacho pokea katika media wala haina haja ya kulalama
Uvivu wa kwenda kulima tu, ameamua kuwa chawaMy Take
1.Huu ni ujumbe Kwa vibaraka.
2.Ujumbe Kwa mabwana zao
3.Ujumbe Kwa wale Qanaolazimisha Kibaraka Atolewe Jela licha ya Kutoa Kauli za Uasi.
4.Ujumbe Kwa kina Gwajima & Wanaharaki wengine .
Tanzania kamwe haitaruhusu kuwa shamba la Bibi, washughulikiwe wote.
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Matiko, amesema kuwa falsafa ya maridhiano, mageuzi, upendo na ustahimilivu (4Rs) inayosimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, haipaswi kutumiwa kama mwanya wa kuvuruga heshima ya Taifa na kumdhalilisha Rais.
Akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Mhe. Matiko amesema kuwa huko nyuma, licha ya viongozi wa upinzani kukamatwa na kufunguliwa mashtaka, hakuwahi kushuhudiwa vitendo vya dhihaka na matusi dhidi ya Rais kama inavyoshuhudiwa sasa kupitia mitandao ya kijamii.
"Huko nyuma hatukuwahi kuona haya mambo yakitokea. Kwa nini yatokee sasa? Kuna jambo linafichwa. Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, aliwahi kukaa ndani kwa muda mrefu, lakini hatukuona aina hii ya dharau kwa Rais," amesema Matiko.
KilazaTunao vilaza wengi sana, hivi mnajua maana ya shamba la bibi.
Kama mnajua maana yake basi tuambieni TZ ni shamba la bibi au sio la bibi
Kwan zama za kutekwa zimeanza awamu ipi.Nani amewahi kemea watu kutekwa? Rais yupi huyo?
Rais aondoe hii habari ya Demokrasia haifai Kwa wapumbavu arudishe mkono wa chuma kama awamu ya 5.
Mungu wenu wa wapi? Wa Ubelgiji au?View attachment 3346595
Lissu ni mpango wa Mungu muachieni kabla upepo wake haujawaangamiza.
Mungu huwa hadhihakiwi.Mungu wenu wa wapi? Wa Ubelgiji au?
Wewe pumbavu mkubwa alitoa tamko gani? Zam za kuteka Toka Nyerere,Mkapa,JK nk.Kwan zama za kutekwa zimeanza awamu ipi.
Lissu akicharangwa risasi lakin JPM kinafiki akatoa katamko kupitia mitandao yake nk. Acha kutetea upumbavu.
Yeye ni binadamu na anaongoza watu wenye utashi, hasira, hisia na mitazamo na matamanio na wenye kumzidi akili na maarifa ivo acha wampe haki yake
Nakuuliza Mungu wenu wa Ubelgiji au?Mungu huwa hadhihakiwi.
AiseeMy Take
1.Huu ni ujumbe Kwa vibaraka.
2.Ujumbe Kwa mabwana zao
3.Ujumbe Kwa wale Qanaolazimisha Kibaraka Atolewe Jela licha ya Kutoa Kauli za Uasi.
4.Ujumbe Kwa kina Gwajima & Wanaharaki wengine .
Tanzania kamwe haitaruhusu kuwa shamba la Bibi, washughulikiwe wote.
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Matiko, amesema kuwa falsafa ya maridhiano, mageuzi, upendo na ustahimilivu (4Rs) inayosimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, haipaswi kutumiwa kama mwanya wa kuvuruga heshima ya Taifa na kumdhalilisha Rais.
Akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Mhe. Matiko amesema kuwa huko nyuma, licha ya viongozi wa upinzani kukamatwa na kufunguliwa mashtaka, hakuwahi kushuhudiwa vitendo vya dhihaka na matusi dhidi ya Rais kama inavyoshuhudiwa sasa kupitia mitandao ya kijamii.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Huko nyuma hatukuwahi kuona haya mambo yakitokea. Kwa nini yatokee sasa? Kuna jambo linafichwa. Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, aliwahi kukaa ndani kwa muda mrefu, lakini hatukuona aina hii ya dharau kwa Rais," amesema Matiko.
Hoja hizi hafifu zimenifanya nione umuhimu wa mabadiliko ya katiba yetu kwamba mtanzania kuwa mbunge kuwe na hitaji la elimu flani na ujuzi, vinginvyo hizi sinema haziwezi kuisha.Tunao vilaza wengi sana, hivi mnajua maana ya shamba la bibi.
Kama mnajua maana yake basi tuambieni TZ ni shamba la bibi au sio la bibi
Kwa hiyo utekaji na mauaji hayapaswi kukemewa? Kwa hiyo mnataka muue ndugu zetu na sisi tuseme tu hewala? Kama utekaji ni halali kwa nini wasiutungie kanuni kabisa na uingizwe kwenye katiba kama kitendo halali, mna akili za hovyo sana!Nani amewahi kemea watu kutekwa? Rais yupi huyo?
Rais aondoe hii habari ya Demokrasia haifai Kwa wapumbavu arudishe mkono wa chuma kama awamu ya 5.
Waliotekwa kwa zama za zaman hapakuwa na mitandao pia habari hazikuwa zinafika kwa wakati. Mpumbavu ni wewe na mamaako huyo. Mpumbavu na wotenaotetea huo upumbavu ni heri mngekua wajinga ila muwa pumbavuWewe pumbavu mkubwa alitoa tamko gani? Zam za kuteka Toka Nyerere,Mkapa,JK nk.
Au umejisahaulisha kina Ulimboka,Kubenea nk?
Kwani hao hawana Elimu? Wew mwenye Elimu una hoja gani ya maana umetoa?Hoja hizi hafifu zimenifanya nione umuhimu wa mabadiliko ya katiba yetu kwamba mtanzania kuwa mbunge kuwe na hitaji la elimu flani na ujuzi, vinginvyo hizi sinema haziwezi kuisha.