Mungu huwa hadhihakiwiNakuuliza Mungu wenu wa Ubelgiji au?
Kwa hiyo ni halali?Wewe pumbavu mkubwa alitoa tamko gani? Zam za kuteka Toka Nyerere,Mkapa,JK nk.
Au umejisahaulisha kina Ulimboka,Kubenea nk?
Ndio, viherehere wote ni halali Yao Kwa maslahi mapana ya Nchi.Kwa hiyo ni halali?
Akijibu hili swali nitagMamlaka zipo wapi kwenye cyber bullying ya mama ,mbona haulizi mamlaka zipo wapi kwenye UTEKAJi?
Nitamshangaa akiwaacha waendelee kumzoea.Acha wamtukane arudi Shule zero form four
Kumbaka dada wa Uganda ilikuwa sawa? Waafrika tuna shida gani na matusi? Kumbe mitandao inaumizaa? Sasa mpaka mseme mmaa....wakenya mnawachochea wenyewe CCMMy Take
1.Huu ni ujumbe Kwa vibaraka.
2.Ujumbe Kwa mabwana zao
3.Ujumbe Kwa wale Qanaolazimisha Kibaraka Atolewe Jela licha ya Kutoa Kauli za Uasi.
4.Ujumbe Kwa kina Gwajima & Wanaharaki wengine .
Tanzania kamwe haitaruhusu kuwa shamba la Bibi, washughulikiwe wote.
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Matiko, amesema kuwa falsafa ya maridhiano, mageuzi, upendo na ustahimilivu (4Rs) inayosimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, haipaswi kutumiwa kama mwanya wa kuvuruga heshima ya Taifa na kumdhalilisha Rais.
Akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Mhe. Matiko amesema kuwa huko nyuma, licha ya viongozi wa upinzani kukamatwa na kufunguliwa mashtaka, hakuwahi kushuhudiwa vitendo vya dhihaka na matusi dhidi ya Rais kama inavyoshuhudiwa sasa kupitia mitandao ya kijamii.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Huko nyuma hatukuwahi kuona haya mambo yakitokea. Kwa nini yatokee sasa? Kuna jambo linafichwa. Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, aliwahi kukaa ndani kwa muda mrefu, lakini hatukuona aina hii ya dharau kwa Rais," amesema Matiko.
What is wakati wa mbowe, ndio hoja gani ya kutolewa na mbunge, kila kitabu na zama zake.Kwani hao hawana Elimu? Wew mwenye Elimu una hoja gani ya maana umetoa?
Kwamba uungwana wa Ras ndio tiketi ya kumdhalilisha?What is wakati wa mbowe, ndio hoja gani ya kutolewa na mbunge, kila kitabu na zama zake.
Wabunge wa cuf miaka hiyo walivyosimamishwa tu na chama chao baada ya siku mbili ubunge wao ukatenguliwa, kutokana na kitabu kubadilika, covid 19 mbona mpaka leo wapo bungeni, usilinganishe nyakati, wakati wa mbowe ni wambowe na wakati wa lissu ni Lissu.
kwa nyaraka zile, Tz ni la bibi labisaTunao vilaza wengi sana, hivi mnajua maana ya shamba la bibi.
Kama mnajua maana yake basi tuambieni TZ ni shamba la bibi au sio la bibi
Kiherehere ni tafsiri yako wewe, ni kama vile uamue tu kujisaidia haja kubwa msikitini na useme eti atakayekuuliza ni kiherehere hivyo ni haki kabisa kumuua, huu ussenge nimeuona south africa, eti mtu akikabwa haitakiwi kumsaidia, maana itatafsirika kuwa aliyesaidia ni kiherehere, na anastahili kabisa adhabu ya kifo, na jamii imezoea hivyo na inaona ni sawa kabisa! You guys need to be eliminated asap, kabla hamjaiharibu zaidi nchi yetu pendwa.Ndio, viherehere wote ni halali Yao Kwa maslahi mapana ya Nchi.
Huyu ni mpumbavu heri angekua mjinga angejitambua ila ni mgandoWhat is wakati wa mbowe, ndio hoja gani ya kutolewa na mbunge, kila kitabu na zama zake.
Wabunge wa cuf miaka hiyo walivyosimamishwa tu na chama chao baada ya siku mbili ubunge wao ukatenguliwa, kutokana na kitabu kubadilika, covid 19 mbona mpaka leo wapo bungeni, usilinganishe nyakati, wakati wa mbowe ni wambowe na wakati wa lissu ni Lissu.