PreGE2025 Matiko : Wakati Mbowe yuko ndani hatukuona matusi kwa Rais, haya ya sasa kuna jambo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nadhani wanaomtukana Samia na kumdhihaki ni Wakenya.

Halafu sijui wanalipia matangazo huku Bongo maana nashangaa matusi yao yanaonekana kwenye feeds za watanzania wakati wako Kenya.

Kwa kweli level ya kumdhihaki Samia kutoka kwa wakenya ni ya ngazi nyingine, sijawahi kuona.
hapa kwetu Tz nii mara 3 yake sema ukionekana tu unashughurikiwa. hali ni zinaenda kimoyomoyoni. Majibu kwenye Nrne siku ikifika
 
Kiherehere ni tafsiri yako wewe, ni kama vile uamue tu kujisaidia haja kubwa msikitini na useme eti atakayekuuliza ni kiherehere hivyo ni haki kabisa kumuua, huu ussenge nimeuona south africa, eti mtu akikabwa haitakiwi kumsaidia, maana itatafsirika kuwa aliyesaidia ni kiherehere, na anastahili kabisa adhabu ya kifo, na jamii imezoea hivyo na inaona ni sawa kabisa! You guys need to be eliminated asap, kabla hamjaiharibu zaidi nchi yetu pendwa.
Viherehere na watishia kuvuruga amani mnamdhalilisha viongozi hamtaachwa mtambe.Nchi sio Kilabuni.
 
My Take
1.Huu ni ujumbe Kwa vibaraka.

2.Ujumbe Kwa mabwana zao

3.Ujumbe Kwa wale Qanaolazimisha Kibaraka Atolewe Jela licha ya Kutoa Kauli za Uasi.

4.Ujumbe Kwa kina Gwajima & Wanaharaki wengine .

Rais apunguze uungwana wanataka kumzoea vibaya.

Pia hapa kuna vita za mfumo dume,dini nk so wanawake msikubali kudhalilishwa kijinga jinga.

Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Matiko, amesema kuwa falsafa ya maridhiano, mageuzi, upendo na ustahimilivu (4Rs) inayosimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, haipaswi kutumiwa kama mwanya wa kuvuruga heshima ya Taifa na kumdhalilisha Rais.

Akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Mhe. Matiko amesema kuwa huko nyuma, licha ya viongozi wa upinzani kukamatwa na kufunguliwa mashtaka, hakuwahi kushuhudiwa vitendo vya dhihaka na matusi dhidi ya Rais kama inavyoshuhudiwa sasa kupitia mitandao ya kijamii.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Huko nyuma hatukuwahi kuona haya mambo yakitokea. Kwa nini yatokee sasa? Kuna jambo linafichwa. Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, aliwahi kukaa ndani kwa muda mrefu, lakini hatukuona aina hii ya dharau kwa Rais," amesema Matiko.

Huyu wakati wa kampeni mwaka 2020 alitiwa kidole makalioni na polisi tena hadharani wala hakuchukua hatua yoyote ile. Huyu ni mwanamke mstaarabu au malaya tu!
 
Wanaomtukana ni wakenya baada ya kusema kuwa wao hawana adabu sasa acha wamfunze adabu. Na Mbowe aliwekwa ndani na Jiwe na sio chura kiziwi pia kauli zake za kuita watu JITU watu watakujibu sawa sawa na unavyo wachukulia. Watu wanatekwa umesikia akikemea eti kifo ni kifo. Kabisa 😆😆😆😆 yaani watu wamebadhiri pesa za umma una tuambia watumishi walio vujisha sio wazalendo bali majizi ndio wazalendo.
Anastahili anacho pokea katika media wala haina haja ya kulalama
Waambie ukweli Hawa mapimbi na machawa uchwara hawajitambui kabisa! Shenzi type!
 
Wanaomtukana ni wakenya baada ya kusema kuwa wao hawana adabu sasa acha wamfunze adabu. Na Mbowe aliwekwa ndani na Jiwe na sio chura kiziwi pia kauli zake za kuita watu JITU watu watakujibu sawa sawa na unavyo wachukulia. Watu wanatekwa umesikia akikemea eti kifo ni kifo. Kabisa 😆😆😆😆 yaani watu wamebadhiri pesa za umma una tuambia watumishi walio vujisha sio wazalendo bali majizi ndio wazalendo.
Anastahili anacho pokea katika media wala haina haja ya kulalama
Correction: Mbowe hakuwekwa ndani na jiwe, aliwekwa ndani na Samia, ilikua July 2021 na kuachiwa March 2022. Kesi ya ugaidi

Mengine upo sahihi.
 
My Take
1.Huu ni ujumbe Kwa vibaraka.

2.Ujumbe Kwa mabwana zao

3.Ujumbe Kwa wale Qanaolazimisha Kibaraka Atolewe Jela licha ya Kutoa Kauli za Uasi.

4.Ujumbe Kwa kina Gwajima & Wanaharaki wengine .

Rais apunguze uungwana wanataka kumzoea vibaya.

Pia hapa kuna vita za mfumo dume,dini nk so wanawake msikubali kudhalilishwa kijinga jinga.

Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Matiko, amesema kuwa falsafa ya maridhiano, mageuzi, upendo na ustahimilivu (4Rs) inayosimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, haipaswi kutumiwa kama mwanya wa kuvuruga heshima ya Taifa na kumdhalilisha Rais.

Akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Mhe. Matiko amesema kuwa huko nyuma, licha ya viongozi wa upinzani kukamatwa na kufunguliwa mashtaka, hakuwahi kushuhudiwa vitendo vya dhihaka na matusi dhidi ya Rais kama inavyoshuhudiwa sasa kupitia mitandao ya kijamii.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Huko nyuma hatukuwahi kuona haya mambo yakitokea. Kwa nini yatokee sasa? Kuna jambo linafichwa. Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, aliwahi kukaa ndani kwa muda mrefu, lakini hatukuona aina hii ya dharau kwa Rais," amesema Matiko.

Tumegawanyika sana duniani na Tanzania tukiwemo,mm nawapenda sana akina mama siku zote mwanamke ukimdanganya anafurahi,kumbe tuendelee kumdanganya Samia halafu kwenye vile vikao vya SIRI tunamnanga hao hao CCM kwamba hafai,ni bora mumsaidie mama wa watu kwa kumshauri ili afanye tafakari ya kina kwa ajili yake na Familia yake pia, maana CCM sio watu.Wenye ubinadamu pale CCM unaweza hata ukawahesabu.MAMA SAMIA ASAIDIWE KWA UPENDO APUMZIKE SIASA HIZI SIO ZA KUPEANA MATUMAINI,MAANA UNAFIKI NI MWINGI WANAOTOA SIRI ZA SERIKALI WAKIMALIZA KUTOA SIRI WANACHUKUA UHAI WAKO HAO NDIO CCM.
 
Back
Top Bottom