PreGE2025 Matiko : Wakati Mbowe yuko ndani hatukuona matusi kwa Rais, haya ya sasa kuna jambo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umewaza vyema,

Hao ndugu walishiklriki kuokoa uhai wa Tundu lissu.

Sasa angekuwa mhaini wasingemtibu.
 
Kumbaka dada wa Uganda ilikuwa sawa? Waafrika tuna shida gani na matusi? Kumbe mitandao inaumizaa? Sasa mpaka mseme mmaa....wakenya mnawachochea wenyewe CCM
 
Kwani hao hawana Elimu? Wew mwenye Elimu una hoja gani ya maana umetoa?
What is wakati wa mbowe, ndio hoja gani ya kutolewa na mbunge, kila kitabu na zama zake.
Wabunge wa cuf miaka hiyo walivyosimamishwa tu na chama chao baada ya siku mbili ubunge wao ukatenguliwa, kutokana na kitabu kubadilika, covid 19 mbona mpaka leo wapo bungeni, usilinganishe nyakati, wakati wa mbowe ni wambowe na wakati wa lissu ni Lissu.
 
Kwamba uungwana wa Ras ndio tiketi ya kumdhalilisha?

View: https://www.instagram.com/reel/DKHy072McdX/?igsh=amtwYTZudjJpbG5s
 
🤮🤮🤮🤮nilifikiri kuna jipya kumbe uchafu uleule wa kila siku!

Mngejibu hoja tu badala ya kujipaka madufi zaidi
 
Mwanakulifind mwanakuliget, suala ni kwamba tumefika hapa kwa sababu ya mapambio ni mengi sana kupita kiasi na badala watu washauri ushauri wa kitaalamu watu wanaona wapambe mapambio huku keki yao ikiendelea kuiva, time will tell my friend.
Ni nani anadhalilisha rais?
 
Ndio, viherehere wote ni halali Yao Kwa maslahi mapana ya Nchi.
Kiherehere ni tafsiri yako wewe, ni kama vile uamue tu kujisaidia haja kubwa msikitini na useme eti atakayekuuliza ni kiherehere hivyo ni haki kabisa kumuua, huu ussenge nimeuona south africa, eti mtu akikabwa haitakiwi kumsaidia, maana itatafsirika kuwa aliyesaidia ni kiherehere, na anastahili kabisa adhabu ya kifo, na jamii imezoea hivyo na inaona ni sawa kabisa! You guys need to be eliminated asap, kabla hamjaiharibu zaidi nchi yetu pendwa.
 
Huyu ni mpumbavu heri angekua mjinga angejitambua ila ni mgando
 
Eti "Freedom of express" hivi huyu kunguni ingizo jipya anajua hata alichoongea??

Halafu hizo 4R za huyu mama yenu ni utapeli mtupu maana miongoni mwa hizo R mojawapo ni reforms.

Lissu anapigania reforms na sio kitu kingine hivyo huyo mama yenu akajiangalie kwenye kioo adui yake ni yeye mwenyewe na sio Lissu maana anahamasisha unywaji wa maji halafu yeye anakunywa mvinyo .

4R ni utapeli mtupu kama mkataba wa uuzwaji wa bandari.

 
Jamani hivi bosi wetu wa vyama hajawasilisha kesi ya kudhalilishwa na bon yai kwamba amedhalilishwa kwa kuambiwa kwamba anamlipia mtu pango la nyumba, mimi nisingekubali, tayali ningekua nimefungua kesi ya fidia ya B.813 kutokana na unyeti wa nafasi yangu katika taifa, Au kuna kaukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…