PreGE2025 Matiko : Wakati Mbowe yuko ndani hatukuona matusi kwa Rais, haya ya sasa kuna jambo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hapa kwetu Tz nii mara 3 yake sema ukionekana tu unashughurikiwa. hali ni zinaenda kimoyomoyoni. Majibu kwenye Nrne siku ikifika
 
Viherehere na watishia kuvuruga amani mnamdhalilisha viongozi hamtaachwa mtambe.Nchi sio Kilabuni.
 
Matatizo ya kumpa kahaba ubunge yameanza kuonekana
 
Huyu wakati wa kampeni mwaka 2020 alitiwa kidole makalioni na polisi tena hadharani wala hakuchukua hatua yoyote ile. Huyu ni mwanamke mstaarabu au malaya tu!
 
Waambie ukweli Hawa mapimbi na machawa uchwara hawajitambui kabisa! Shenzi type!
 
Correction: Mbowe hakuwekwa ndani na jiwe, aliwekwa ndani na Samia, ilikua July 2021 na kuachiwa March 2022. Kesi ya ugaidi

Mengine upo sahihi.
 
Tumegawanyika sana duniani na Tanzania tukiwemo,mm nawapenda sana akina mama siku zote mwanamke ukimdanganya anafurahi,kumbe tuendelee kumdanganya Samia halafu kwenye vile vikao vya SIRI tunamnanga hao hao CCM kwamba hafai,ni bora mumsaidie mama wa watu kwa kumshauri ili afanye tafakari ya kina kwa ajili yake na Familia yake pia, maana CCM sio watu.Wenye ubinadamu pale CCM unaweza hata ukawahesabu.MAMA SAMIA ASAIDIWE KWA UPENDO APUMZIKE SIASA HIZI SIO ZA KUPEANA MATUMAINI,MAANA UNAFIKI NI MWINGI WANAOTOA SIRI ZA SERIKALI WAKIMALIZA KUTOA SIRI WANACHUKUA UHAI WAKO HAO NDIO CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…