Dont worry,be happy.ZD has a forgiving and a loving heart...
Naruhusiwa kukukosea ZD?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dont worry,be happy.ZD has a forgiving and a loving heart...
hahahaha bibie sikujua na wewe umezaliwa Birminigham....Dont worry,be happy.ZD has a forgiving and a loving heart...
Naruhusiwa kukukosea ZD?
Umeconkludi nini sasa Mchakachauji?Guys you will make my day today, mjadala huu umekuwa mzito na ninaomba tusameheane endapo nimemkwaza yeyote kwa namna moja au nyingine, love you all my people
The Following User Says Thank You to Mamushka For This Useful Post:Mimi nikiwa kama mwanamke nasema kwa uhakika kabisa kwamba matiti yangu ni mali yangu mwenyewe first of all, inapokuja kwenye matumizi ndo naweza amua ninatumiaje, na ninapo kua mama hapo sipingi lazima mtoto wangu anyonye kwasababu hata mimi itakua juu ya uwezo wangu siwezi mzuia, kwasababu maziwa yalianza kutengenezwa pindi yeye akiwa tumboni, kwa mantiki hiyo basi mtoto si mmiliki wa matiti yangu ispokua maziwa yangu ni chakula chake, ikija kwa mume kwakuwa mume wangu atakua ndo kichwa mi ubavu which meanz yeye ndo ana nimiliki basi ananimiliki mimi na kila kilichopo kwa mwiliwangu ila asivunje sheria au kuvuka mipaka tu na siku ikatokea kutengana jua unaondoka na matiti yako. Kwani hata mimi ntamiliki yeye na kila kitu chake na ndo maana hata wanaume wana vima nyonyo wana miliki mtu si matiti. Kuna wanawake wengi wameolewa na wana cheat hivyo basi ukiacha mume na mtoto matiti yao hua yananyonywa na watu wengine umiliki hapo unakua haueleweki unapo miliki kitu nikwamba unatumia wewe tu na hao wanaogombania manyonyo na watoto wao sijui wanawaza nini sidhani kama mwanaume anaweza nyonya matiti yanayotoa maziwa sijui kwakweli. So matiti ni mali ya mwenye nayo. JESUS IS MY HOME BOY.
Naruhusiwa kukukosea ZD?
hahahaha bibie sikujua na wewe umezaliwa Birminigham....
bado kidogo ntampiku blurei....yu noo waram seying?
kwani masaint huwa wanakosa au wanatenda dhambi?au wewe ni saint wa kanisa gani?
Sijasema ntakukosea bana.....well....well....naona uko sambamba na mwisho (acha nichape mwendo)...
BTW: Mimi ni saint wa juu bana...sio wa kanisa....Mambo?
Umeconkludi nini sasa Mchakachauji?
mimi ni MTOTO-MKUBWAHiyo thank you yote kisa umehalalishiwa chakula ya mtoto ni mmiliki ni wewe mwe wajameni we ushakua mkubwa
mimi ni MTOTO-MKUBWA
poa poa!ngoja nije hukooyaaa nsharudi kule