Matiti ni mali ya nani?

Matiti ni mali ya nani?

Guys you will make my day today, mjadala huu umekuwa mzito na ninaomba tusameheane endapo nimemkwaza yeyote kwa namna moja au nyingine, love you all my people
 
OKAY OKAY WAJAMENI,
basi kwa haraka haraka kidogo hebu tuhabarishane nini hapa vile kinajadiliwa?
 
Mimi nikiwa kama mwanamke nasema kwa uhakika kabisa kwamba matiti yangu ni mali yangu mwenyewe first of all, inapokuja kwenye matumizi ndo naweza amua ninatumiaje, na ninapo kua mama hapo sipingi lazima mtoto wangu anyonye kwasababu hata mimi itakua juu ya uwezo wangu siwezi mzuia, kwasababu maziwa yalianza kutengenezwa pindi yeye akiwa tumboni, kwa mantiki hiyo basi mtoto si mmiliki wa matiti yangu ispokua maziwa yangu ni chakula chake, ikija kwa mume kwakuwa mume wangu atakua ndo kichwa mi ubavu which meanz yeye ndo ana nimiliki basi ananimiliki mimi na kila kilichopo kwa mwiliwangu ila asivunje sheria au kuvuka mipaka tu na siku ikatokea kutengana jua unaondoka na matiti yako. Kwani hata mimi ntamiliki yeye na kila kitu chake na ndo maana hata wanaume wana vima nyonyo wana miliki mtu si matiti. Kuna wanawake wengi wameolewa na wana cheat hivyo basi ukiacha mume na mtoto matiti yao hua yananyonywa na watu wengine umiliki hapo unakua haueleweki unapo miliki kitu nikwamba unatumia wewe tu na hao wanaogombania manyonyo na watoto wao sijui wanawaza nini sidhani kama mwanaume anaweza nyonya matiti yanayotoa maziwa sijui kwakweli. So matiti ni mali ya mwenye nayo. JESUS IS MY HOME BOY.
 
The Following User Says Thank You to Mamushka For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 
kwani masaint huwa wanakosa au wanatenda dhambi?au wewe ni saint wa kanisa gani?

Sijasema ntakukosea bana.....well....well....naona uko sambamba na mwisho (acha nichape mwendo)...
BTW: Mimi ni saint wa juu bana...sio wa kanisa....Mambo?
 
The Following User Says Thank You to Mamushka For This Useful Post:

Teamo (Today)​

Hiyo thank you yote kisa umehalalishiwa chakula ya mtoto ni mmiliki ni wewe mwe wajameni we ushakua mkubwa
 
Sijasema ntakukosea bana.....well....well....naona uko sambamba na mwisho (acha nichape mwendo)...
BTW: Mimi ni saint wa juu bana...sio wa kanisa....Mambo?

Hewala kaka....ila usichukie basi
 
kwaiyo mwanamke akiachana na mumewe, atamuachia hayo matiti?
 
Back
Top Bottom