matiti yanauuma kama nataka kubleed

matiti yanauuma kama nataka kubleed

JOB SEEKER

Senior Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
145
Reaction score
33
leo ni siku ya nne baada ya ovulation yangu,nilifanya unprotected sex lakini kama siku 1 au mbili zilizo pita matiti yangu yanauma uma kama vile nataka kubleed cjui sasa hii nini naombeni msaada wa kimawazo
 
Ni yote mawili au moja? na nisehemu gani ya maziwa yako unaposikia maumivu, fafanua juu ya hayo maumivu ni sehemu gani kwenye maziwa? Ili usaidiwe vizuri
 
itakuwa miwaya tayari....mrudie Mungu wako Na Utubu Sana Na Kutoa Sadaka ya Dhabihu
 
pole ngoja wataalam waje,ila usikasirike ukiambiwa ka-picha!
 
itakuwa miwaya tayari....mrudie Mungu wako Na Utubu Sana Na Kutoa Sadaka ya Dhabihu

acha ujinga. Kwani kuwa ni miwaya huwezi kuishi? Utakufa kabla ya wote unaowafahamu wenye miwaya, nyambaf. Hivi kampeni za kupinga unyanyapaa hamzisikii?
 
Pole sana.....relax kwanza usiogope
 
Back
Top Bottom