Matokea ya Sensa: Idadi ya Raia wa Uganda Yafikia Zaidi ya Milioni 45

Matokea ya Sensa: Idadi ya Raia wa Uganda Yafikia Zaidi ya Milioni 45

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
My Take:

Hii population growth watakuja kuishi wapi ikizingatia Kanchi kenyewe kadogo? 👇

Watu Milioni 46 ni population explosion, yaani miaka 10 ijayo watakuwa sawa na Tanzania Kwa saaa.

Afrika Mashariki tunazaana sana ila ni fursa kubwa sana Kwa Tanzania hasa kwenye soko la bidhaa za Kilimo.

=========

Uganda’s population stood at 45, 935, 046 people, up from 34.6 million counted in 2014, according to new figures of the preliminary 2024 national census results released by Uganda Bureau of Statistics (Ubos) on Thursday.

This, according to Ubos, means that the population increased by 11.3 million people in the last 10 years, reflecting a 2.9 percent growth rate.

Data in Uganda’s 6th post-independence and first ever digital census was gathered using about 160 questions at household level and over 60 questions in a community questionnaire.

Refugees counted in Uganda’s on census night (May 9) accounted for at least 780, 061 of the country’s latest population data, according to Mukiza.

Majority of Uganda’s population is in Buganda with the least in the Karamoja region.

A population pyramid released by Ubos suggests that “Uganda is a young country with 50.5 percent of the population aged below 17 years while age group 18-30 (youths) form 22.7 of the count.

Women comprise 22.4million of the Ugandan population, implying they have remained consistently higher than men in the last 20+ years.

Uganda’s population has significantly grown since 1911 when the first national census was conducted.

The Citizen
 
Sana, population density ni kubwa sama ndio inaongoza Kwa EAC ikofiatiwa na Burundi na Rwanda
Mzungu amewakalilisha kuogopa kuzaa mnasahau kutumia akili!!
Linganisha hizo nchi mbili

Bangaladeshi ina nusu ya ukubwa wa ardhi ukilinganisha na uganda
Bangaladesh population 170Million
Wakat Uganda inaeneo mara mbili ya Bangaladeshi
Uganda population 45Million

Haya umesikia bangaladeshi wamekosa pa kukaa au kuishi umesikia wanakufa njaa kama somalia??

Hizo ni propaganda za mzungu kuzuia waafrica wasizaliane naww umejaa
 
Attachments

  • E801C7A4-64F5-4EB7-8B11-C96D9D43266F.jpeg
    E801C7A4-64F5-4EB7-8B11-C96D9D43266F.jpeg
    1.1 MB · Views: 8
Mzungu amewakalilisha kuogopa kuzaa mnasahau kutumia akili!!
Linganisha hizo nchi mbili

Bangaladeshi ina nusu ya ukubwa wa ardhi ukilinganisha na uganda
Bangaladesh population 170Million
Wakat Uganda inaeneo mara mbili ya Bangaladeshi
Uganda population 45Million

Haya umesikia bangaladeshi wamekosa pa kukaa au kuishi umesikia wanakufa njaa kama somalia??

Hizo ni propaganda za mzungu kuzuia waafrica wasizaliane naww umejaa
Hakuna mtu anakukataza kuzaa ila kuzaa ambako huwezi Huduma watu wako ni hasara ,ndio hayo ya Gen Z huko Kenya.

Mwakani 2025,EAC itakuwa na watu Milioni 200
 
Hakuna mtu anakukataza kuzaa ila kuzaa ambako huwezi Huduma watu wako ni hasara ,ndio hayo ya Gen Z huko Kenya.

Mwakani 2025,EAC itakuwa na watu Milioni 200
Bro nimekuwekea ulinganifu hapo sijui kama umepitia,,,,
Kuongezeka idadi ya watu hakuna maana watu wanazaa sana! au watu wanawatoto wengi.
Factor kama chakula cha kutosha,uwezo wa kutibu na kujikinga na magonjwa,Kupata uzazi katika umri mdogo nk si lazima kua mtu anazaa watoto asiokua na uwezo nao
 
Back
Top Bottom