Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
Huyu mtu angekuwa karibu anastahili kipigo tu, hakuna haja ya kuzungumza nae. Tutakususia kuchangia maada zako hapa jf. ningekuwa na uwezo ni kukufungia kupost thread kwa miezi sita. Unataka kutuaribia Super monday yetu.
Aisee ni kweli kabisa. Maana ameninyong'onyeza sana aisee. Laiti kama anagelijua, wala asingeanzisha mada kama hii....!!