Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyemaTuwe wakweli tu jamani...mechi ya Kesho kwa simba itakuwa sio lele mama kama wengi wetu tunavyofikiri..suala la kushinda ni gumu sana japo sare inawezekana tukijipanga na matokeo ya sare yatatuweka pazuri zaidi...na nina matumaini kesho AS Vita haiwezi kumfunga Al Ahly labda watoe sare cos Ahly ana hasira za kupoteza mechi ya Simba.
Al Ahyl akimfunga vital ni matokeo mabaya sana kwa Simba endapo Simba itafungwa na Saoura magoli matatu au zaidi. Kwasababu Al Ahyl itafikisha point 10 hivyo watakuwa wamefuzu robo fainali. Mechi ya mwisho Al Ahyl itacheza na Saoura ni rahisi sana kupanga matokeo kwavile Saoura watahitaji point moja tu wafikishe point 9 ambazo zitakuwa sawasawa na Simba endapo itamfunga A.S Vita. Kumbuka Simba wameruhusu magoli mengi sana hivyo watahitaji wamfunge A.S Vita magoli ya kutosha. Ni matokeo mazuri kwa waarabu kufanya fitna ya kupitishana wenyewe kwa wenyewe.Al ahaly amfunge as vita na simba tumfunge js soura. Ili Mechi ya mwisho pale kwa mchina tucheze mechi ya kirafiki na as vital