magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
Waarabu hawapendani hata siku moja jua ivyo...ila muhimu Simba kupata hata sare keshoAl Ahyl akimfunga vital ni matokeo mabaya sana kwa Simba endapo Simba itafungwa na Saoura magoli matatu au zaidi. Kwasababu Al Ahyl itafikisha point 10 hivyo watakuwa wamefuzu robo fainali. Mechi ya mwisho Al Ahyl itacheza na Saoura ni rahisi sana kupanga matokeo kwavile Saoura watahitaji point moja tu wafikishe point 9 ambazo zitakuwa sawasawa na Simba endapo itamfunga A.S Vita. Kumbuka Simba wameruhusu magoli mengi sana hivyo watahitaji wamfunge A.S Vita magoli ya kutosha. Ni matokeo mazuri kwa waarabu kufanya fitna ya kupitishana wenyewe kwa wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app