Matokeo As Vita vs Al Ahaly yaweje?

Matokeo As Vita vs Al Ahaly yaweje?

Vita anampiga al ahly..anapanda hadi nafasi ya 3...simba anapoteza kwa soura...wanapanda hadi nafas ya 2...simba anashika mkia, then..mech za mwisho...simba anamkalisha vita..anarudi nafas ya 2...soura analala kwa al ahly..al ahly anavuka..so simba ni suala la mda tu..robo fainali ilee yaja!

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja kati ya vitu ambavyo siamini kabisa ni Simba kushinda moja kati ya mechi yoyote walizobakisha.

Wale Vita labda waje watafute droo na sio ushindi, wakitafuta ushindi hakika wanaupata Taifa.
 
Niwakumbushe tu kuwa Soura nao wanahitaji washinde ili kujiweka nafasi nzuri zaidi.
 
Niwakumbushe tu kuwa Soura nao wanahitaji washinde ili kujiweka nafasi nzuri zaidi.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Wana Nguvu moja wanalisahau hili Mkuu. Hawajui jamaa pia naye anahitaji matokeo
 
Tuwe wakweli tu jamani...mechi ya Kesho kwa simba itakuwa sio lele mama kama wengi wetu tunavyofikiri..suala la kushinda ni gumu sana japo sare inawezekana tukijipanga na matokeo ya sare yatatuweka pazuri zaidi...na nina matumaini kesho AS Vita haiwezi kumfunga Al Ahly labda watoe sare cos Ahly ana hasira za kupoteza mechi ya Simba.
As vita kwanini asiweze kumfunga al ahaly? Kama Simba ameweza? Acha kuota Leo Simba anaweza kuwa namba 4
 
Back
Top Bottom