Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Mashabiki wa yanga hawasomek si walikuwa wanawaita JS Soura wahindi leo imekuwajeYanga je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki wa yanga hawasomek si walikuwa wanawaita JS Soura wahindi leo imekuwajeYanga je?
duuh kumbe kitumbua kuingia mchanga ndo hivi!!!!!Pilau limeingia mchanga kwa matokeo haya.
Hii ya Leo hata tukifungwa haina shida lakini game ya mwisho ndio muhimu sana, though tukishinda Leo itakuwa pouwa sana game ya mwisho twatafuta drooIli tufuzu inabifi tushinde game zote mbili aisee!!!!!!
Moja tu inatoshaIli tufuzu inabifi tushinde game zote mbili aisee!!!!!!
Kundi bado liko wazi kwa wote, game za mwisho ndizo zitakazoamua, game yetu na as vital itakuwa vita kweli kweli afe kipa ama beki kwa mchina siku iyo hata toka mtu salamaMpira umeisha
AS Vita 1 vs Al Ahly 0
Al Ahly pt 7
AS Vita 7
Simba 6
JS Soura 5
....JS Soura vs Simba saa 4 usiku,
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja kama mechi zijazo za walio na point 7 kupoteza zao za mwishoMoja tu inatosha
Kundi bado liko wazi kwa wote, game za mwisho ndizo zitakazoamua, game yetu na as vital itakuwa vita kweli kweli afe kipa ama beki kwa mchina siku iyo hata toka mtu salama
Hii ina maana gani mwalimu kashashaMchezo wa Simba vs A.S Vital utachezewa uwanja wa jamuhuri kama sijakosea na wala sio kwa mchina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye points 7 ni al ahly na vita. Vita akifungwa na simba atabaki na 7 zake huku simba akiwa na 9. Al ahly vs saula mshindi wa mechi hiyo ataungana na simba kwenda next stageMoja kama mechi zijazo za walio na point 7 kupoteza zao za mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufika 9 ni pamoja na ushindi wa leo hivyo lazima ya mwisho tushindeWenye points 7 ni al ahly na vita. Vita akifungwa na simba atabaki na 7 zake huku simba akiwa na 9. Al ahly vs saula mshindi wa mechi hiyo ataungana na simba kwenda next stage