Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya wakosaji
Kafungwa Simba ila nyie ndio mnaotesekaHongera sana mkuu baada ya ushindi mzuri ugenini
Hongera maombi yako yametimiaMpira ukiisha 0-0 itapendeza sana Halafu badae Mnyama anafanya yake ni mwendo wa kukesha no kulala
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafiki ndo starehe ya soka
Bukaba ndo kapambania timuHakuna mchezaji pale simba kiungo hamna kitu kabisa yanarukaruka tu
Hawa wamejitahidi sana
Zana
Manula
Huyu haruna byebye kaisha kbsa
oHakuna mchezaji pale simba kiungo hamna kitu kabisa yanarukaruka tu
Hawa wamejitahidi sana
Zana
Manula
Huyu haruna byebye kaisha kbsa
Huwaga hawaniwezi, wamelambwa viwili ka vya mkwezi.Ewaaaaa. Ila saa hii Presha zimeanza kuwapanda hawatasogea mpaka kikieleweka kesho ndio watakuquote kumwaga Povu zao.
Uko kama mimiKwa roho yangu ilivyo mbaya,, AS Vita ashinde ili awe na point 7! Kifupi siipendi Simba!
Mani underdog?Mpira umeisha
AS Vita 1 vs Al Ahly 0
Al Ahly pt 7
AS Vita 7
Simba 6
JS Soura 5
....JS Soura vs Simba saa 4 usiku,
Sent using Jamii Forums mobile app