Moja kati ya vitu ambavyo siamini kabisa ni Simba kushinda moja kati ya mechi yoyote walizobakisha.Vita anampiga al ahly..anapanda hadi nafasi ya 3...simba anapoteza kwa soura...wanapanda hadi nafas ya 2...simba anashika mkia, then..mech za mwisho...simba anamkalisha vita..anarudi nafas ya 2...soura analala kwa al ahly..al ahly anavuka..so simba ni suala la mda tu..robo fainali ilee yaja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale Vita labda waje watafute droo na sio ushindi, wakitafuta ushindi hakika wanaupata Taifa.