Matokeo As Vita vs Al Ahaly yaweje?

Matokeo As Vita vs Al Ahaly yaweje?

Al Ahyl akimfunga vital ni matokeo mabaya sana kwa Simba endapo Simba itafungwa na Saoura magoli matatu au zaidi. Kwasababu Al Ahyl itafikisha point 10 hivyo watakuwa wamefuzu robo fainali. Mechi ya mwisho Al Ahyl itacheza na Saoura ni rahisi sana kupanga matokeo kwavile Saoura watahitaji point moja tu wafikishe point 9 ambazo zitakuwa sawasawa na Simba endapo itamfunga A.S Vita. Kumbuka Simba wameruhusu magoli mengi sana hivyo watahitaji wamfunge A.S Vita magoli ya kutosha. Ni matokeo mazuri kwa waarabu kufanya fitna ya kupitishana wenyewe kwa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waarabu hawapendani hata siku moja jua ivyo...ila muhimu Simba kupata hata sare kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita anampiga al ahly..anapanda hadi nafasi ya 3...simba anapoteza kwa soura...wanapanda hadi nafas ya 2...simba anashika mkia, then..mech za mwisho...simba anamkalisha vita..anarudi nafas ya 2...soura analala kwa al ahly..al ahly anavuka..so simba ni suala la mda tu..robo fainali ilee yaja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom