Matokeo As Vita vs Al Ahaly yaweje?

Matokeo As Vita vs Al Ahaly yaweje?

Simchezo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
460
Reaction score
373
Kesho tar 9.3.2019 Simba inajitupa uwanjani kukipiga na J's Saoura na kabla ya mchezo huo As Vita watamenyana na Al Ahly, je matokeo ya mechi hii yaweje ili iwe advantage kwa Simba?
 
Watoke Droo,Kisha Simba ashinde,Simba atakuwa na point 9,point zitakazoweza kufikiwa na kupitwa na Al ahly tu,Vita na Saoura watakuwa na point 5 hata wakishinda game zao za mwisho wataishia point 8 ambazo zitakuwa zimeshapitwa na Simba,kifupi wakitoka droo na Simba ikashinda tutaenda airport kuwapokea Simba kama mashujaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwe wakweli tu jamani...mechi ya Kesho kwa simba itakuwa sio lele mama kama wengi wetu tunavyofikiri..suala la kushinda ni gumu sana japo sare inawezekana tukijipanga na matokeo ya sare yatatuweka pazuri zaidi...na nina matumaini kesho AS Vita haiwezi kumfunga Al Ahly labda watoe sare cos Ahly ana hasira za kupoteza mechi ya Simba.
 
Umenena vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Al ahaly amfunge as vita na simba tumfunge js soura. Ili Mechi ya mwisho pale kwa mchina tucheze mechi ya kirafiki na as vital
Al Ahyl akimfunga vital ni matokeo mabaya sana kwa Simba endapo Simba itafungwa na Saoura magoli matatu au zaidi. Kwasababu Al Ahyl itafikisha point 10 hivyo watakuwa wamefuzu robo fainali. Mechi ya mwisho Al Ahyl itacheza na Saoura ni rahisi sana kupanga matokeo kwavile Saoura watahitaji point moja tu wafikishe point 9 ambazo zitakuwa sawasawa na Simba endapo itamfunga A.S Vita. Kumbuka Simba wameruhusu magoli mengi sana hivyo watahitaji wamfunge A.S Vita magoli ya kutosha. Ni matokeo mazuri kwa waarabu kufanya fitna ya kupitishana wenyewe kwa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom