balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Angalia usije ukafa jiandae kisaikolojia Simba haendi popoteWenye points 7 ni al ahly na vita. Vita akifungwa na simba atabaki na 7 zake huku simba akiwa na 9. Al ahly vs saula mshindi wa mechi hiyo ataungana na simba kwenda next stage
Mkuu njoo tuongee sasaBaadae ntakuita hapa boss, usije ukajificha
Huu msako vp mkuu, ulipoteana njia?? Zisi izi simbaless bhanaaaa.
Hahahaaa. Hawana hamu.
Halafu tuna point ngap vileHahahaaa. Hawana hamu.
Hivi wako nafasi ya ngapi katika kundi lao sasa? [emoji12]
Eisii vitali anajuja kuzikia kwa mchina, moja bila. Habari inakuwa imeishia hpo. Nyie wakuwaonea ni kina namungo efsii tu.
Umesoma ulichoandikaEisii vitali anajuja kuzikia kwa mchina, moja bila. Habari inakuwa imeishia hpo. Nyie wakuwaonea ni kina namungo efsii tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako mkiani kama kawaida ya underdog.Hahahaaa. Hawana hamu.
Hivi wako nafasi ya ngapi katika kundi lao sasa? [emoji12]
MambHahahaaa. Hawana hamu.
Hivi wako nafasi ya ngapi katika kundi lao sasa? [emoji12]
Umeniwahi. [emoji85][emoji85][emoji85]
Sa iv muda wa kaz acha umbeaHahahaaa. Hawana hamu.
Hivi wako nafasi ya ngapi katika kundi lao sasa? [emoji12]
Tunaangalia pointHahahaaaa. Hujasema Mtani mpo nafasi ya ngapi?
Point mnazo 6
Ila wamevunja rekodi yaani usiku wapili kunapambazuka wako mkiani. [emoji23][emoji23]
Hahaaaa. Mida ya Lunch hii hivyo wacha tu niwe mbea.