Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #261
Thanks Silencer, the heading is now perfect. Ile ya mwanza ilikaa kama JF ni Tume ya Uchaguzi ya JF. Najiandaa kurejea Biharamulo kusikiliza majumuisho ya kura, kama hakutakuwa na utata wowote, matokeo rasmi yatatangazwa saa 4 asubuhi hii mbele yamwenyekiti wa NEC, Jaji Agostino Ramadhani.The title has been changed to reflect the unofficial results that have been received so far. Until the official pronouncement by the Returning Officer so far the winner of the election has not been announced. We are waiting for the official results this morning.For Admins.
Invisible, wewe una amini kuwa CCM watakosa hizo kura 631 ili kulingana na CHADEMA wakati turnout ni 39.24%. usishangae kusikia kuwa final turnout ni 45% na hiyo percentage yote iliyo ongezeka wakawa wameipigia kura CCM.
Hongereni Chadema. Bila shaka nyie ndio tegemeo la Watanzania wengi. Wasomi karibu wote wanawaungeni mkono. Na sasa raia wengine nao wametambua ubora wenu
Hapo mimi itabidi niangalie. Zikiletwa mahakama za kadhi nitamchagua JK. Lakini zikiletwa na kugharamiwa na serikali nitamchagua Mbowe. Zisipoletwa kabisa nitamchagua Lipumba. Sioni condition yoyote itakayonishawishi kumchagua Mrema! 😀 😀 😀 😀Mfano 2010 kwanini nijisumbue kupiga kura kwa mgombea urais kama safu itakuwa hivi,JK,Mbowe,Mrema,Lipumba
Mzee Mwanakijiji kasema "Chadema kijijenge kiwe chama mbadala". Hilo sio lengo sahihi. Chadema kijijenge kiwe chama tawala.
Mkuu hiyo turnout rate inahusiana vipi na hizo kura 631?
Wana JF nisaidieni kwa hili. Hivi ni kwa nini wanachelewa kutangaza matokeo kama wameshamaliza kuhesabu kura???
Kura 631 ni difference kati ya kura walizopata CHADEMA vs CCM. Kwa kuwa haya ni matokeo ya awali (yani yasiyo rasmi) usishangae kusikia kuwa kuna sanduku la kura lilikuwa bado halijafika kutoka kwenye kijiji kilicho ndani ndani kabisa. Hii ina maanisha kuwa turnout itaongezeka na kutokana na kuingezeka kwa hiyo turnout difference kati ya CCM na CHADEMA itabadilika. CCM wanaweza wakapata kura zaidi.
TANZANIA BILA YA CCM INAWEZEKANA, MUNGU IBARIKI TANZANIA
ni lazima ccm washinde. kura zinafanyiwa kazi ili ccm washinde kwa kura hata moja
macinkus
Kura 631 ni difference kati ya kura walizopata CHADEMA vs CCM. Kwa kuwa haya ni matokeo ya awali (yani yasiyo rasmi) usishangae kusikia kuwa kuna sanduku la kura lilikuwa bado halijafika kutoka kwenye kijiji kilicho ndani ndani kabisa. Hii ina maanisha kuwa turnout itaongezeka na kutokana na kuingezeka kwa hiyo turnout difference kati ya CCM na CHADEMA itabadilika. CCM wanaweza wakapata kura zaidi.
TANZANIA BILA YA CCM INAWEZEKANA, MUNGU IBARIKI TANZANIA
o.k. nimekuelewa sasa mkuu.
Nimeongea na Mtu wa CHADEMA aliyeko Biharamula, na bado amenihakikishia kuwa CHADEMA inaongoza au aniseme imeshinda ila kuna taarifa kuwa Makamba amesogelea mahali ambapo yanfanyika majumuisho ili kuvuruga matokea.
Wananchi wanajiandaa kusogelea eneo ilo ili kushinikiza matokeo kutangazwa bila kuvurugwa.
Nawasilisha