sasa wametushinda kivipi???? Nasikia harufu ya ufisadi.
Heeee wanataka... Mungu wangu????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa wametushinda kivipi???? Nasikia harufu ya ufisadi.
Pasco, hapa nimeongea na Zitto akanambia hivi:
Imetubidi kujumlisha upya matokeo, tumerudia mara ya pili tukapata hivi:
CHADEMA: 17,313
CCM: 16,682
TLP: 187
Lakini CCM wanatwambia wametushinda kwa tofauti ya kura 1,700 kitu ambacho hatukubaliani nacho, tunarudia kuhesabu mara ya 3!
Kaaazi kwelikweli
Ndio hivyo sasa tumeshinda kwa kura 1700 zilizopigwa na wananchi wa biharamulo, siku nyingine mkome kushangilia ushindi uliotangazwa na Tanzania Daima gazeti la mbowe au kutegemea taarifa za zitto kabwe katibu wa chadema msubiri kauli za tume EBOH!!!Hata wakipewe hizo kura za TLP kama ilivyofanya ZNP na ZPPP zamani za Zanzibar bado hawafikii kura za CHADEMA, sasa wameshindaje kwa zaidi ya kura 1700?
Hahha nna mdogo wangu yupo tume ya uchaguzi na yeye yupo Biharamulo nimempigia sasa hivi hataki kusema imekuwaje maana yeye ni CCM damu hahahaha anasema matokeo bado hayajatangazwa eti hajui hahaha CCM kushne maana CHADEMA sasa mwendo mdundooo
Ndio hivyo sasa tumeshinda kwa kura 1700 zilizopigwa na wananchi wa biharamulo, siku nyingine mkome kushangilia ushindi uliotangazwa na Tanzania Daima gazeti la mbowe au kutegemea taarifa za zitto kabwe katibu wa chadema msubiri kauli za tume EBOH!!!
Pasco, hapa nimeongea na Zitto akanambia hivi:
Imetubidi kujumlisha upya matokeo, tumerudia mara ya pili tukapata hivi:
CHADEMA: 17,313
CCM: 16,682
TLP: 187
Lakini CCM wanatwambia wametushinda kwa tofauti ya kura 1,700 kitu ambacho hatukubaliani nacho, tunarudia kuhesabu mara ya 3!
Kaaazi kwelikweli
Ndo yaliyozua zogo mkuu... Ngoja kuna mtu naongea naye ni wa CCM nitarejea soon, ni vema kupata kujua pande mbili zinasemaje... Upande wa tatu naona kama washakubali matokeo (TLP & CUF)Mkuu yale masanduku yaliokwama njiani vipi? yameshafika? samahani kwa kuwa nakubandikia kazi ambayo upo mbali nayo
Na upande wa nne je (NEC), wanasemaje?... Upande wa tatu naona kama washakubali matokeo (TLP & CUF)
Mkuu yale masanduku yaliokwama njiani vipi? yameshafika? samahani kwa kuwa nakubandikia kazi ambayo upo mbali nayo
Ndo yaliyozua zogo mkuu... Ngoja kuna mtu naongea naye ni wa CCM nitarejea soon, ni vema kupata kujua pande mbili zinasemaje... Upande wa tatu naona kama washakubali matokeo (TLP & CUF)
Zikipita dkk 17 ?Mpaka sasa hivi zimebaki dakika kama 17 tu ili matokeo yatangazwe.
Hapana Mkuu, sina nia mabaya ila kuna masanduku yalikwama somewhere tuliambiwa hapa hapa. Hi ndo chanzo cha habari na pia rejea pages za nyuma for referenceHii sasa kali, kuna masanduku yaliyokwama njiani!!! Kama zoezi la kuhesabu kura limeshakamilika hayo masanduku yanatoka wapi??? Selous mbona kama vile unataka kupotosha umma???
Mambo yanaweza kumuwia magumu kwa sababu hatokuwa na usaidiziw a nguvu kwenyen kampeni kama alioupata sasa hivi. Kumbuka wakati huo akina Slaa watakuwa nao wanaopambana kulinda majimbo yaoTrue, lakini 2010, Dr. mbassa si atatetea kiti chake? Kumbuka sasa hivi ataingia kwa nguvu na atakuwa anaanza kuonyesha ufanisi. kwahiyo mwakani kwake nadhani itakuwa rahisi zaidi!
Hapana Mkuu, sina nia mabaya ila kuna masanduku yalikwama somewhere tuliambiwa hapa hapa. Hi ndo chanzo cha habari na pia rejea pages za nyuma for reference