Hapana, nadhani hizo dakika 17 ulimaanisha matokeo yatatangazwa saa 4 asubuhi right?...Mpaka sasa hivi zimebaki dakika kama 17 tu ili matokeo yatangazwe.
Mkuu Invisible,Hapana, nadhani hizo dakika 17 ulimaanisha matokeo yatatangazwa saa 4 asubuhi right?
Ngumu kwa sasa, yani wameanza upya, kuhesabu kura moja moja, kituo baada ya kituo ili kila mmoja aridhike.
Kazi ipo!
Hapana, nadhani hizo dakika 17 ulimaanisha matokeo yatatangazwa saa 4 asubuhi right?
Ngumu kwa sasa, yani wameanza upya, kuhesabu kura moja moja, kituo baada ya kituo ili kila mmoja aridhike.
Kazi ipo!
Wakati mnasubiri matokeo, muangalie salio mifukoni mwenu au kwenye vipimajoto vyenu ili baadae mpitie bank kuchangia JF[URL="https://www.jamiiforums.com/payments.php"]Thank you for supporting JF! <-----(click if you wanna support us)
Waliochangia 2009: (click to read)
JINSI YA KUCHANGIA JF[/URL] (click to read)
CCM nayo yadai imeshinda, wawakilishi wa vyama wako ndani ya ofisi za Halmashauri yanapofanyiwa majumuisho. Ni ukweli usiopingika kutangaza matokeo based on data za chama ni hatari, japo kurelease mapema, kunaziba mianya yoyote ya kuyafanyia madudu matokeo halisi.
Hali ni tete mjini Biharamulo, watu kwa makundi wametanda jirani na ofisi ya msimamizi na wanaonyesha hawako tayari kusikia lolote kinyume cha matumaini waliyokuwa nayo. Matokeo rasmi yakitangazwa CCM imeshinda, nadhani kuanzia hapo kwa msimamizi, patakuwa hapatoshi.FFU nao wamekaa mkao wa kula!.
Inapoelekea Saa 4:30 bila matokeo, Muda wangu BiMulo ndio umeniishia. Natamani kukaa mpaka mwisho, ila kesho ni 77 niking'ang'ana na Bi'Mulo, nitakula polisi. Ziko mtu 7 za JF Bi'Mulo, natumaini update zitaendelea, Mimi naitafuta Busisi.
Hapana, nadhani hizo dakika 17 ulimaanisha matokeo yatatangazwa saa 4 asubuhi right?
Ngumu kwa sasa, yani wameanza upya, kuhesabu kura moja moja, kituo baada ya kituo ili kila mmoja aridhike.
Kazi ipo!
Ambao hawaamini kuwa mwisho wa ccm umefika imekula kwao!!!!!
Wamezoea kuiba kura dawa yao tushaijua ni kulinda kura zetu kwa namna yoyote ile.
nadhani nimesomeka.............
Nimeambatanisha nakala kwenye 1st post ambayo niliipata ikionyesha hali halisi.
Naambatanisha (kwenye 1st post) pia na matokeo ya kituo kwa kituo ambayo walihesabu mara mbili na kukuta yanajirudia, endapo kutakuwa na mabadiliko tutafahamishana!
Check attachment ya Excel ina maelezo ya kutosha!Mkuu sorry, umenichanganya. Hizi ni kata au vituo ndani ya kata? Ulichohold ni kituo (ile ya 394) au kata.