CCM wanataka kuhesabu kura walizoingiza baada ya kuharibu gari njiani na matokeo yao wametupa, swali je matokeo ya vyama si kila wakala anatakiwa asaini kwa hiyo hayo ya chadema waliyonayo si wakala wa kila chama na msimamizi wa kituo walisaini? Je wanayakataa kabla hawajafungua tena hayo masunduku? kama wasimamizi na wakala wa CCM wanakataa saini zao kalabaghao Chadema wakikubali kuhesabu upya bila taratibu zinazofaa kwishine .
hata sisi 2005 tulishinda kwa kura 6 bukoba mjini
hata sisi 2005 tulishinda kwa kura 6 bukoba mjini
Inawabidi washinde kwa knock-out!...hahaha
ndo hiyo sasa...yetu macho
duh!
Haya ni matokeo toka kwa mwakilishi wetu mkuu... Tunasubiri tume ya uchaguzi itatangaza nini... Matokeo haya yatakuwa batili endapo tume itatoa tofauti na haya, hatuwezi kuipinga tume... Ikishatoa maamuzi ndiyo final!
mkuu invisible..CUF na TLP walikuwa wasindikizaji kwenye mbio hizi... Kura zao zinaashiria kuwa walikuwa wanapoteza muda tu, baadhi ya vituo walikuwa wanapata kura 0!
Nakuamini sana mzee wangu Pasco sasa inakuaje mambo haya ya mazingaombwe kama haya, Hawa jamaa CCM ni wezi hiyo ni bora kuhesabu upya na pia tume ya uchaguzi ifanye sio kwa upendeleo kama hivi. Niambie basi mshindi ni nani?? Nina presha hapaKwa mujibu wa mpashaji habari wangu Aliyeko Biharamulo, Chadema wamegomea kuhesabu kura upya, ila wamekubali kujumlishwa upya kwa kura za jana. Kuna jumla ya kata 8. Mpaka sasa wameshajumlisha kata 3. katika hizo kata tatu, tayari CCM imeshashtukiwa iliiba zaidi ya kura 200 za Chadema.
Jamani nimeushughudia uchaguzi wa jana kwa macho yangu, sipati picha kura zinaweza kuibiwa vipi!?.
Hapo sasa hapakaliki wanasemaji chama ya Ufisadi CCM? Jaji Ya fisadi Lewis yupo?Kwa mujibu wa mpashaji habari wangu Aliyeko Biharamulo, Chadema wamegomea kuhesabu kura upya, ila wamekubali kujumlishwa upya kwa kura za jana. Kuna jumla ya kata 8. Mpaka sasa wameshajumlisha kata 3. katika hizo kata tatu, tayari CCM imeshashtukiwa iliiba zaidi ya kura 200 za Chadema.
Jamani nimeushughudia uchaguzi wa jana kwa macho yangu, sipati picha kura zinaweza kuibiwa vipi!?.
Nakuamini sana mzee wangu Pasco sasa inakuaje mambo haya ya mazingaombwe kama haya, Hawa jamaa CCM ni wezi hiyo ni bora kuhesabu upya na pia tume ya uchaguzi ifanye sio kwa upendeleo kama hivi. Niambie basi mshindi ni nani?? Nina presha hapaKwa mujibu wa mpashaji habari wangu Aliyeko Biharamulo, Chadema wamegomea kuhesabu kura upya, ila wamekubali kujumlishwa upya kwa kura za jana. Kuna jumla ya kata 8. Mpaka sasa wameshajumlisha kata 3. katika hizo kata tatu, tayari CCM imeshashtukiwa iliiba zaidi ya kura 200 za Chadema.
Jamani nimeushughudia uchaguzi wa jana kwa macho yangu, sipati picha kura zinaweza kuibiwa vipi!?.
Mkumbuke yale mambo yaliyotokea iran ndugu...msije kutupandisha presha kwenye laptop zetu hapa!!!Nakuamini sana mzee wangu Pasco sasa inakuaje mambo haya ya mazingaombwe kama haya, Hawa jamaa CCM ni wezi hiyo ni bora kuhesabu upya na pia tume ya uchaguzi ifanye sio kwa upendeleo kama hivi. Niambie basi mshindi ni nani?? Nina presha hapa
Nakuamini sana mzee wangu Pasco sasa inakuaje mambo haya ya mazingaombwe kama haya, Hawa jamaa CCM ni wezi hiyo ni bora kuhesabu upya na pia tume ya uchaguzi ifanye sio kwa upendeleo kama hivi. Niambie basi mshindi ni nani?? Nina presha hapa
Mimi nawambieni kuwa CCM muda wao unahesabika maana tumechoka na wizi kama huu na kama Huyu Jaji ambaye naye siku hizi amekuwa Fisadi aseme, ameshirikiana na CCM kuiba kura zetu hatutaki waseme nani mshindi haiwezekani hata kidogoMwanawane kila mmoja presha iko juu wengine tupo ER, na habari ndio hiyo wanahesabu wanajumlisha upya kaka fisadi kesha kwapua mimacho mekunduuu kama sie yeye vile.kitim tim hiki duuu