Mtimti
JF-Expert Member
- Feb 23, 2008
- 942
- 647
CCM wanataka kuhesabu kura walizoingiza baada ya kuharibu gari njiani na matokeo yao wametupa, swali je matokeo ya vyama si kila wakala anatakiwa asaini kwa hiyo hayo ya chadema waliyonayo si wakala wa kila chama na msimamizi wa kituo walisaini? Je wanayakataa kabla hawajafungua tena hayo masunduku? kama wasimamizi na wakala wa CCM wanakataa saini zao kalabaghao Chadema wakikubali kuhesabu upya bila taratibu zinazofaa kwishine .
hii sasa kama cinema