Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

Leteni data mpya tulinganishe na hizi za awali. Hivi kweli akina Zitto, Slaa, Mrema nk wanachezwa shere hivi hivi? aisee mkubwa ni mkubwa tu. NEC kama Hayatola wa Iran.
 
Jamani Cuf wakisema wanaibiwa wanaambiwa wamechoka,sasa na chadema wamechoka? Haya tuyaone,hapa bila kuungana vyama vya upinzani kwa dhati hakuna kitu kitakachokuwa,chadema warudi kwa wenzao wa CUF wakae pamoja lkn isiwe kama walivofanya huko nyuma,maana waliwagaeukia wenzao na wakawaambia upepo umebadilika,sivo hivo,tukaeni pamoja.warudi kwa dhati na tuwe na msimamo mmoja wa kuiondoa ccm la sivyo hakuna Cuf wala Chadema ambao wataweza kuiondoa ccm kama hawajashikamana.. ikiwa uchaguzi mdogo tunashindwa kudhibiti kura zetu je mkubwa tutawaweza ccm kama hatujawa kitu kimoja..
Umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu
 

kwani wakiungana watazuia vipi kuibiwa kura? baseless
 
Haiwezakani kabisa watu kuwe na mazingaombwe kama hivi maana kura zinaibiwa na wakina tambwe na wenzao kule
 
haya jamani matokeo ndio hivyo tena kama mlivyo sikia mafisadi wamekichukua...tuendelee na mijadala mingine sasa.
 
kwani wakiungana watazuia vipi kuibiwa kura? baseless

Wakuu Tume ya Uchaguzi ni ya CCM,
Dola inaundwa na CCM,
Wasimamizi wanachaguliwa chini ya CCM hapo hakuna jipya yale yale.
 
Jibu lako lipo hapo hapo ni hili, UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI DHAIFU. rudi primary ukasome..

umoja wa kulinda kura zisiibiwe kwi kwi kwi... hii sijaiona popote ...
 
hv kuna nini huko?

lazima tuwe makini wizi unafanyika
 
haya jamani matokeo ndio hivyo tena kama mlivyo sikia mafisadi wamekichukua...tuendelee na mijadala mingine sasa.
 
jamani Chadema imeshinda kweli? Nihakikishieni mwanawenu mie
 
CCM naona mwisho wao umekaribia. Kama hawataki mambo yabadilike kimya kimya basi siku itafika watabebwa juu juu na kuingizwa KEKO kujibu madhambi yote haya. Nawasikitikia DAGAA watakaobebwa na wananchi wenye hasira maana MIPAPA itasema yenyewe hata Buharamuro haikuwepo.
Watatumiwa na kesho watatemwa kama ganda la muwa. Acha wafaidi leo. Ila kama wangi walivyosema " nyie chekeni tu leo, ila kuna siku siye tutaja cheka wa mwisho..."
 
Hizo ndio nyimbo zenu kila siku, chama dume chini ya usimamizi wa tingatinga washafanya mavituuuuzzz!!!

Briion on local councils election now..

Btwn karibuni to toss ninafungua plastic langu la mbege sasa
 
kwisha kazi subirini tena 2010, Ningetowa kaushauri tu wanaopenda kweli mapinduzi waachane na vyama vyao waungane na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…