Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Busanda, Wizi, B muro ni wizi hakuna jipya huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo ni mwisho wangu kujiusisha na siasa,nisije kufa bure kwa presha.
Jamani Cuf wakisema wanaibiwa wanaambiwa wamechoka,sasa na chadema wamechoka? Haya tuyaone,hapa bila kuungana vyama vya upinzani kwa dhati hakuna kitu kitakachokuwa,chadema warudi kwa wenzao wa CUF wakae pamoja lkn isiwe kama walivofanya huko nyuma,maana waliwagaeukia wenzao na wakawaambia upepo umebadilika,sivo hivo,tukaeni pamoja.warudi kwa dhati na tuwe na msimamo mmoja wa kuiondoa ccm la sivyo hakuna Cuf wala Chadema ambao wataweza kuiondoa ccm kama hawajashikamana.. ikiwa uchaguzi mdogo tunashindwa kudhibiti kura zetu je mkubwa tutawaweza ccm kama hatujawa kitu kimoja..
Umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu
Jibu lako lipo hapo hapo ni hili, UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI DHAIFU. rudi primary ukasome..kwani wakiungana watazuia vipi kuibiwa kura? baseless
kwani wakiungana watazuia vipi kuibiwa kura? baseless
Jibu lako lipo hapo hapo ni hili, UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI DHAIFU. rudi primary ukasome..
hv kuna nini huko?
lazima tuwe makini wizi unafanyika
hv kuna nini huko?
lazima tuwe makini wizi unafanyika
kwisha kazi subirini tena 2010, Ningetowa kaushauri tu wanaopenda kweli mapinduzi waachane na vyama vyao waungane na ccm