Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

Taarifa kamili ni kwamba Chadema wamerudia mambo ya tarime .Chadema imeshinda Biharamulo habari za uhakika ,unaweza kupiga hapa na kuujua ukweli +255 787 474 707

Hongera sana Chadema

progress.gif

Ndugu yangu uko wapi? wakala wa CCM ( Tume ya uchaguzi) imetangaza kuwa bosi wake CCM ameshinda, 😡
 
Muda mchache uliopita nimesikiliza taarifa ya habari toka TCB-TV ambapo CCM imetangazwa kushinda kiti cha Ubinge-B’mulo. La kusikitisha na kushangaza matokeo rasmi hayajatangazwa hapa B’mulo. Hakuna kauli yoyote Zaidi ya mahojiano yaliyofanywa na Mkurugenzi wa Uchaguzi na Radio Kwizila ya Ngara ambapo Mkurugenzi alikiri CHADEMA kuelekea kushinda.
Sasa TBC inapomtangaza mgombea wa CCM kushinda ni kwa kura zipi? Zilizopigwa kupitia TV au mabox ya uchaguzi? Yawezekana kulikuwa na uchaguzi mwingine unaendeshwa kupitia TV!
Mkulu Invisible nawe uthibitisho wa matokeo rasmi umeutoa wapi?
Kwa sasa kinachofanyika ni propaganda. Invisible kuwa makini usijekuwa sehemu ya “Propaganda Pima Upepo Tutekeleze Letu”
 
Invicible, funga hii thread, anzisha ya ushindi wa CCM inayojitegemea ili JF iplay impartiality, kuendelea kuwepo kunajustify kama tunasymphasize na Chadema.
Wana JF, kutangaza mwelekeo wa kituo kwa kituo ni kitu cha kawaida. Hakuna haja ya kuibeza JF kwa hilo, na sasa tuipongeze CCM huku tukitafakari ni nini haswa kilichotokea.

Pasco jana usiku ulipotea ghafla baada ya kuonekana CCM wanaelekea kubwagwa, sasa CCM imetangazwa mshindi ndo umeibuka tena. Wewe ni Kada wa CCM nini?
 
hapa sijaelewa jamani, taarifa ya invisible inasema ccm watangazwa washindi. wachangiaji wanasema hongera chadema. data zile zaonyesha chadema wameshinda. hapa kipi ni kipi.
 
Chadema wajifunze kwa CUF zanzibar nafikiri CCM 2010 itaua watu wengi sana
Ndo itakavokuwa znz maana watu tayari washachoka na ccm,washasema ccm basi 2010 kutawala znz.. wanasema kama noma na iwe noma,ikiwa hawataki kura basi tutakutana majumbani mwao kwanza halfu ndio tutaingia barabarani..
 
Siku CCM inashindwa kwenye uchaguzi wa rais itabidi tufanye iwe public holiday. Iwe siku ya kumbukumbu, maana Tanzania itakuwa imemshinda adui wake mkuu na mnyonyaji wake numba moja!
exactly my thought,Manake wanadhani nchi hii ni kijiko cha kukorogea chai,hawajui jinsi wanavyodhulumu haki za wananchi na haswa wapiga kura wanapandikiza chuki ya ajabu ndani ya mioyo yao.

kama hawawezi kusimamia demokrasia ya kweli kama serikali wanataka wanachi wachukue mapanga,bunduki,ili wapewe haki yao wanadhani watapona kweli

Mbona wanaendesha nchi kwa udikteta

Tuungane na chadema kwa chochote watakachoo amua kama njia yakukataa ukandamizaji ,nchi nyingi zimeingia kwenye vurugu baada ya haki zao za haki ya kuchagua viongozi kuzibwana safari hii wasilichukulie swala hili kimzaha kama walivyofanya Busanda liende mbali kabisa
 
Hapo tutakuwa tumepiga hatua kuongeza chachu ya upinzani ktk maamuzi bungeni. hongera wapiga kura wapenda maendeleo ya kweli. huu ni mfano wakuigwa na wote 2010
 
exactly my thought,Manake wanadhani nchi hii ni kijiko cha kukorogea chai,hawajui jinsi wanavyodhulumu haki za wananchi na haswa wapiga kura wanapandikiza chuki ya ajabu ndani ya mioyo yao.

kama hawawezi kusimamia demokrasia ya kweli kama serikali wanataka wanachi wachukue mapanga,bunduki,ili wapewe haki yao wanadhani watapona kweli

Mbona wanaendesha nchi kwa udikteta

Tuungane na chadema kwa chochote watakachoo amua kama njia yakukataa ukandamizaji ,nchi nyingi zimeingia kwenye vurugu baada ya haki zao za haki ya kuchagua viongozi kuzibwana safari hii wasilichukulie swala hili kimzaha kama walivyofanya Busanda liende mbali kabisa
Chochote kama nini bwana fafanua!
 
bila tume huru ya uchaguzi ni ndoto za mchana labda jeshi lipindue serikali

Mimi sijali itatokeaje. But would prefer a peaceful transition of power. Dreams can turn to reality if you put your faith in it...That's my belief!
 
Omu,
Tume imeshatangaza ushindi kwa CCM kwa kura zaidi ya 800.
Matokeo rasmi ni yale tuu yanayotangazwa na Tume, mengine yote yalikuwa provisional waiting for approval.
Tukubali CCM imeshinda, tusonge mbele.
 
Wala sitaki kuwaamini kirahisi kihivyo not me!

Kakweli hii ni Aibu, Kivuiti in Tanzania, lazima kitokee kitu, hii dhuruma haiwezi endelea,

Lianzisheni tu tuko nyuma yenu, kwani kwa hapa wamevuka mipaka loooo!! Shame on you vikaragosi vya mafisadi!

Kuna watu wana roho za ajabu humu duniani? how can you??
 
Nafikiri sasa hivi kunahitajika vurugu tena vurugu hasa sio za kitoto. Wataua watu, 10, 20, 100, 1000 lakini Millioni 40 watapata haki ya kuwa na democrasia ya kweli. Nchi nyingi zenye viongozi dhalimu huwa hazitendi haki mpaka yatokee machafuko.

Hii katiba ya nchi haifai, kuipa haki tume kuwa na kauli ya mwisho ni udikteta wa hali ya juu kwenye nchi yenye utawala wa sheria. Mahakama zilitakiwa kuwa na uwezo wa kuwithheld results zozote za uchaguzi mpaka ufumbuzi wa kisheria upatikane. Huu upuuzi wa CCM sasa hivi hauvumiliki tena. Watajifunza kutenda haki pale ambapo watakapoona maslahi yao yapo hatarini na ili kuweka maslahi yao hatarini ni vurugu tu na kuwafanya wasifurahie utawala. Si unaona Zanzibar baada ya kupelekeshwa na CUF wakajifanya muafaka na baada ya kuona CUF wametuliza steam, wakabadilisha kibao.

Kwa nini wanakumbatia utamaduni ambao hawauwezi?, kwa nini tusiseme kuwa nchi yetu ni ya chama kimoja tu?. Haya mazingaombwe tunamfanyia nani? kama si kuendeleza chuki miongoni mwetu?. CCM hivi kiti Biharamuro kitawasaidia nini ninyi? zaidi ya kutugawa watanzania kiitikadi?. Mimi mzee wangu ni CCM pure na mimi sina chama ila kwa style hii inanifanya nianze kumchukia mzee bila sababu.

Hivi CCM mnaijua gharama ya umoja wetu?, mnaijua gharama ya uishirikiano wetu?. naomba basi mfute mfumo wa vyama vingi ili kusiwe na chuki miongoni mwetu ambazo ninyi ni mbegu bora yenye afya ya chuki hizo.
 
Ccm naichukia..cjui lini tutafanikiwa kuotoa..ufisadi wote huu na rushwa halafu inashinda kwa wizi bado..
 
Omu,
Tume imeshatangaza ushindi kwa CCM kwa kura zaidi ya 800.
Matokeo rasmi ni yale tuu yanayotangazwa na Tume, mengine yote yalikuwa provisional waiting for approval.
Tukubali CCM imeshinda, tusonge mbele.

Mkuu Pasco tukubali tu, kwa misingi ipi???
huu ni uhuni wa hali ya juu, mkuu Pasco mwenyewe ulishuhudia kweli tukubali tu? kweli tutafika?
sasa kama tume inajua mshindi kwanini wapiteze pesa za kufanya kampeini? si waamue wapachike watu wao hata kama si raia?

Tumechoka khaa!

Kama noma na iwe noma!
 
omutwale kwani upo wapi, Biharamulo au. kwani kama usemacho ni kweli, basi nchi hii itakuwa inaelekea kubaya. dhuluma ya wazi kama hivi, itasababisha chuki kubwa sana kwa wananchi. hiyo tume unayoshabikia Pasco, imetangaza wapi taarifa hizo.
 
Nafikiri sasa hivi kunahitajika vurugu tena vurugu hasa sio za kitoto. Wataua watu, 10, 20, 100, 1000 lakini Millioni 40 watapata haki ya kuwa na democrasia ya kweli. Nchi nyingi zenye viongozi dhalimu huwa hazitendi haki mpaka yatokee machafuko.

Hii katiba ya nchi haifai, kuipa haki tume kuwa na kauli ya mwisho ni udikteta wa hali ya juu kwenye nchi yenye utawala wa sheria. Mahakama zilitakiwa kuwa na uwezo wa kuwithheld results zozote za uchaguzi mpaka ufumbuzi wa kisheria upatikane. Huu upuuzi wa CCM sasa hivi hauvumiliki tena. Watajifunza kutenda haki pale ambapo watakapoona maslahi yao yapo hatarini na ili kuweka maslahi yao hatarini ni vurugu tu na kuwafanya wasifurahie utawala. Si unaona Zanzibar baada ya kupelekeshwa na CUF wakajifanya muafaka na baada ya kuona CUF wametuliza steam, wakabadilisha kibao.

Kwa nini wanakumbatia utamaduni ambao hawauwezi?, kwa nini tusiseme kuwa nchi yetu ni ya chama kimoja tu?. Haya mazingaombwe tunamfanyia nani? kama si kuendeleza chuki miongoni mwetu?. CCM hivi kiti Biharamuro kitawasaidia nini ninyi? zaidi ya kutugawa watanzania kiitikadi?. Mimi mzee wangu ni CCM pure na mimi sina chama ila kwa style hii inanifanya nianze kumchukia mzee bila sababu.

Hivi CCM mnaijua gharama ya umoja wetu?, mnaijua gharama ya uishirikiano wetu?. naomba basi mfute mfumo wa vyama vingi ili kusiwe na chuki miongoni mwetu ambazo ninyi ni mbegu bora yenye afya ya chuki hizo.
Mimi bado nafanya utafiti na hasa kujua labda kuna mkono mkubwa wa mzee wetu wa kaya kujua na kusema kuwa lazima CCM washinde. yaani bwana mimi nimechoka na mazigaombwe haya.. sio wewe tu mzee wangu
 
Back
Top Bottom