Taarifa kamili ni kwamba Chadema wamerudia mambo ya tarime .Chadema imeshinda Biharamulo habari za uhakika ,unaweza kupiga hapa na kuujua ukweli +255 787 474 707
Hongera sana Chadema
Invicible, funga hii thread, anzisha ya ushindi wa CCM inayojitegemea ili JF iplay impartiality, kuendelea kuwepo kunajustify kama tunasymphasize na Chadema.
Wana JF, kutangaza mwelekeo wa kituo kwa kituo ni kitu cha kawaida. Hakuna haja ya kuibeza JF kwa hilo, na sasa tuipongeze CCM huku tukitafakari ni nini haswa kilichotokea.
Ndo itakavokuwa znz maana watu tayari washachoka na ccm,washasema ccm basi 2010 kutawala znz.. wanasema kama noma na iwe noma,ikiwa hawataki kura basi tutakutana majumbani mwao kwanza halfu ndio tutaingia barabarani..Chadema wajifunze kwa CUF zanzibar nafikiri CCM 2010 itaua watu wengi sana
exactly my thought,Manake wanadhani nchi hii ni kijiko cha kukorogea chai,hawajui jinsi wanavyodhulumu haki za wananchi na haswa wapiga kura wanapandikiza chuki ya ajabu ndani ya mioyo yao.Siku CCM inashindwa kwenye uchaguzi wa rais itabidi tufanye iwe public holiday. Iwe siku ya kumbukumbu, maana Tanzania itakuwa imemshinda adui wake mkuu na mnyonyaji wake numba moja!
Chochote kama nini bwana fafanua!exactly my thought,Manake wanadhani nchi hii ni kijiko cha kukorogea chai,hawajui jinsi wanavyodhulumu haki za wananchi na haswa wapiga kura wanapandikiza chuki ya ajabu ndani ya mioyo yao.
kama hawawezi kusimamia demokrasia ya kweli kama serikali wanataka wanachi wachukue mapanga,bunduki,ili wapewe haki yao wanadhani watapona kweli
Mbona wanaendesha nchi kwa udikteta
Tuungane na chadema kwa chochote watakachoo amua kama njia yakukataa ukandamizaji ,nchi nyingi zimeingia kwenye vurugu baada ya haki zao za haki ya kuchagua viongozi kuzibwana safari hii wasilichukulie swala hili kimzaha kama walivyofanya Busanda liende mbali kabisa
bila tume huru ya uchaguzi ni ndoto za mchana labda jeshi lipindue serikali
Wala sitaki kuwaamini kirahisi kihivyo not me!Hapa CCM hawajacheza mchezo mchafu.
Wala sitaki kuwaamini kirahisi kihivyo not me!
Omu,
Tume imeshatangaza ushindi kwa CCM kwa kura zaidi ya 800.
Matokeo rasmi ni yale tuu yanayotangazwa na Tume, mengine yote yalikuwa provisional waiting for approval.
Tukubali CCM imeshinda, tusonge mbele.
Mimi bado nafanya utafiti na hasa kujua labda kuna mkono mkubwa wa mzee wetu wa kaya kujua na kusema kuwa lazima CCM washinde. yaani bwana mimi nimechoka na mazigaombwe haya.. sio wewe tu mzee wanguNafikiri sasa hivi kunahitajika vurugu tena vurugu hasa sio za kitoto. Wataua watu, 10, 20, 100, 1000 lakini Millioni 40 watapata haki ya kuwa na democrasia ya kweli. Nchi nyingi zenye viongozi dhalimu huwa hazitendi haki mpaka yatokee machafuko.
Hii katiba ya nchi haifai, kuipa haki tume kuwa na kauli ya mwisho ni udikteta wa hali ya juu kwenye nchi yenye utawala wa sheria. Mahakama zilitakiwa kuwa na uwezo wa kuwithheld results zozote za uchaguzi mpaka ufumbuzi wa kisheria upatikane. Huu upuuzi wa CCM sasa hivi hauvumiliki tena. Watajifunza kutenda haki pale ambapo watakapoona maslahi yao yapo hatarini na ili kuweka maslahi yao hatarini ni vurugu tu na kuwafanya wasifurahie utawala. Si unaona Zanzibar baada ya kupelekeshwa na CUF wakajifanya muafaka na baada ya kuona CUF wametuliza steam, wakabadilisha kibao.
Kwa nini wanakumbatia utamaduni ambao hawauwezi?, kwa nini tusiseme kuwa nchi yetu ni ya chama kimoja tu?. Haya mazingaombwe tunamfanyia nani? kama si kuendeleza chuki miongoni mwetu?. CCM hivi kiti Biharamuro kitawasaidia nini ninyi? zaidi ya kutugawa watanzania kiitikadi?. Mimi mzee wangu ni CCM pure na mimi sina chama ila kwa style hii inanifanya nianze kumchukia mzee bila sababu.
Hivi CCM mnaijua gharama ya umoja wetu?, mnaijua gharama ya uishirikiano wetu?. naomba basi mfute mfumo wa vyama vingi ili kusiwe na chuki miongoni mwetu ambazo ninyi ni mbegu bora yenye afya ya chuki hizo.