Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#What happenned?
.........!!!
Mkumbuke yale mambo yaliyotokea iran ndugu...msije kutupandisha presha kwenye laptop zetu hapa!!!
Mbona mnanichanganya, kwani hivi FMES wana uhusiano na JSM ?
Habari nilizozipata hivi punde kutoka kwa chanzo cha kuaminika zinadai kuwa CCM imeshinda kwa kura 17,584 sawa na asilimia 51 dhidi ya kura 16,686 sawa na asilimia 48.01 ya chadema na tlp kura 192 sawa na asilimia 1.
wakuu sasa naona kuna mikanganyiko ya za dataz..... hii thread mbona inatunganya siye??
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/33050-ccm-wameshinda-biharamulo.html
Hakuna mikanganyiko hapa watu wameweka takwimu sasa ni wajibu wako kuzikubali au kuja na nyingine uzipinge hizi ndivyo JF tunavyoishi. Sasa kama Fisadi kawin tupe data how.
Siyo Kweli Nguli
Matokea bado na kwa sasa kila Chama kinapita mtaani kuomba wanachama wake waende jengo la Halmashauri zinakohesabiwa kura kudai kutangazwa kwa matokeo.
Mkumbuke yale mambo yaliyotokea iran ndugu...msije kutupandisha presha kwenye laptop zetu hapa!!!
Vipi Mkuu, kumbe upo? Manake tangu thread ya Chadema kushinda ilipowekwa, ulikuwa mafichoni. Anyway, stay online!Chanzo CCM wameshinda Biharamulo! haya sasa zimeni chereko chereko zenu mrudi kwenye nyimbo zenu za kawaida mmeibiwa!
The one who laughs last, laughs the best!
Yaani sisi kama wadau tumechoka na huo usanii wa CCM kama ndio hivyo tuongeze nguvu hata humo ndani ya JF!! Kwa hiyo unasema mambo badoSioni kam kuna mchanganyiko wa data ila kinachotokea ni kuwa tread mpya ya nguli inapotosha ukweli wa hali halisi kule Biharamulo. CCM haijashinda na Chadema bado inaongoza kwa kura au ni Mshindi.
Kwa sasa gari la matangazo la CHADEMA linapita mtaani kuhimiza wananchi kwenda jengo la Halmashauri kudai kutolewa kwa matokeo.
CCM hawataki kuyakubali matokeo kuwa wameshindwa na wanang'ang'ania kuwa kura zihesabiwe tena.