Brutus
Senior Member
- Jul 10, 2007
- 174
- 31
Kwanini iwe ni kuhakikisha kwamba CCM inashinda, na sio kuhakikisha kwamba hakuna udanganyifu wowote uliotokea?Matokeo yamerudiwa kuhesabiwa mara nne, hii yote ni ili kuhakikisa CCM inashinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini iwe ni kuhakikisha kwamba CCM inashinda, na sio kuhakikisha kwamba hakuna udanganyifu wowote uliotokea?Matokeo yamerudiwa kuhesabiwa mara nne, hii yote ni ili kuhakikisa CCM inashinda.
Kwanini iwe ni kuhakikisha kwamba CCM inashinda, na sio kuhakikisha kwamba hakuna udanganyifu wowote uliotokea?
Nilishasema mambo ya Tume ya Uchaguzi!! TUME YA CCM. WAKURUGENZI WA CCM, WOTE NI MALI ZAO. HAKUNA HAJA YA UCHAGUZI HATA KIDOGO. Wawe wanasema mapema kama kuna haja ya uchaguzi
ccm kwakweli wizi wenu sasa umekuwa wa waziwazi na tumechoshwa..maana huko ni kutuchagulia watu..wezi sana ccm nyie
TUmechoka na matokeo na tume ya uchaguzi!! Hatutaki mambo ya ajabu kama haya ya mazigaombwe kama hiviNaunga mkono hoja...
TUmechoka na matokeo na tume ya uchaguzi!! Hatutaki mambo ya ajabu kama haya ya mazigaombwe kama hivi
Hakuna jipya hapo mzee wangu!! wezi watupu na tume ni kichaka chao cha wizi wa kuraUPDATE 2.
Tume ya uchaguzi imesema hivi:
CCM: 17,561 = 51%
CHADEMA: 16,670 = 48.4%
CHADEMA wameyakataa matokeo kwani wanadai matokeo ya kata 3 yamegeuzwa tofauti na walivyosaini wasimamizi wa matokeo na yalivyohesabika vituoni!
========================================
Update 3.
Tume ya Uchaguzi imemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi kwa kura zinazoonyeshwa kwenye Update ya awali ingawa CHADEMA wameyakataa matokeo ya vituo 9 kati ya vituo 237 vya uchaguzi!
Mkuu tupe update ya kituo kwa kituo ili tujue mabadiliko yako vituo vipi?
Tunahitaji jeshi tu sasa hivi maana hali jinsi ilivyo kuna ufisadi kila sehemu maana kuna mambo ya ajabu sana katika chaguzi zetu. Hakuna haja ya kuwa na chaguzi ndogo kama hizi za huko KageraUsijali sana, PM Pinda anajaribu utawala wa kijeshi mkoani Mara hasa Tarime na Rorya ukifanikiwa tutaufanya wa nchi nzima so no more chaguzi kubwa na ndogo.
ccm kwakweli wizi wenu sasa umekuwa wa waziwazi na tumechoshwa..maana huko ni kutuchagulia watu..wezi sana ccm nyie
Siku CCM inashindwa kwenye uchaguzi wa rais itabidi tufanye iwe public holiday. Iwe siku ya kumbukumbu, maana Tanzania itakuwa imemshinda adui wake mkuu na mnyonyaji wake numba moja!
Chadema wamefanya kitu walichofanywa wapinzani wa IRAN hii si habari nzuri kwa democrasiaMmmmhhh! siasa za Tanzania kichwa cha Mwendawazimu. Kama CHADEMA wameshinda si waachieni jimbo tu? Muda wenyewe uliobaki ni mwaka mmoja tu.
Kama hawakushinda basi hizi tabia za kuletewa habari hapa JF ambazo sio sahihi zinaweza kusababisha madhara makubwa.
Sasa ile hongera yangu kwa CHADEMA nitaiondoa vipi?
Hongera CCM kama mtu mmeshinda kihalali.
Invisible na Pasco, nasifu mchango wenu kwenye hizi chaguzi. Ila tu in future kuweni makini kwa ku report news na sio kutengeneza news.