Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
- Thread starter
- #21
kwa kwei matokeo yangeumiza sana haya nadhani hata kuliko yaliyotangulia, kwanza Tambwe kutufnga tena lakini kupoteza mechi ya kwanza ya ligi ambayo bila shaka ingetuvuruga sanadaah tunashukuru sana maana tusingelala wiki nzima...