Matokeo chanya kwa Simba

Matokeo chanya kwa Simba

Wakati huo huo anakuacha wewe ufunge,bila kulazimisha kuwa umezidi au kukupa kosa lolote litalokunyima goli.........Huku sio "kubebwa" kama anakubeba pia atahakikisha hufungwi.
Lile goli la kona alitaka pia alikatae, lakina hakuwa na namna maana kipa hajaguswa. Na alipanga kumaliza mechi baada ya ile kona, bahati mbaya kwake likawa goli
 
Lile goli la kona alitaka pia alikatae, lakina hakuwa na namna maana kipa hajaguswa. Na alipanga kumaliza mechi baada ya ile kona, bahati mbaya kwake likawa goli
Kwahiyo mkuu unataka mimi na akili zangu tujadili HISIA ZAKO.Kwamba "ALITAKA KUFANYA HIVI AU VILE ,ILA KWA BAHATI MBAYA LIKAWA GOLI"
 
  • Simba imeendeleza rekodi ya kutopoteza mchezo msimu huu, imecheza mechi saba na kufanikiwa kushinda mechi tano na kutoka sare mara mbili. Yanga imecheza mechi sita, imeshinda mechi tatu, imetoka sare mara mbili na kupoteza mchezo mmoja.
 
Nakubaraina na mawazo yako has a upande wa mashabiki wa simba kung'oa viti

Kiukweli Mimi Ni shabiki wa simba damu
Ila upuuzi uliofanywa Leo kiukweli haukunipendezesha.
Refa alileta ghazabu sana
Kiasi hata mie uzalendo ulinishinda pale uwanjani na kwanza kutokwa na maneno makali
Lakini si kwa kung'oa viti
Au kuharibu uwanja.

Tukumbuke kuna watu hawana uwanja kama huo
Wanakaa juani
Mpira ni burudani tu.

SIMBA DAIMA
 
  • Simba bado inaongoza ligi ikiwa na pointi 17 ikifuatiwa na Stand United ambayo inapointi 12 huku Yanga wakishika nafasi ya tatu kwa pointi zao 11.
 
HUENDA MAAMUZI YAKAWA KURUDISHWA SHAMBA LA BIBI
Nakubaraina na mawazo yako has a upande wa mashabiki wa simba kung'oa viti

Kiukweli Mimi Ni shabiki wa simba damu
Ila upuuzi uliofanywa Leo kiukweli haukunipendezesha.
Refa alileta ghazabu sana
Kiasi hata mie uzalendo ulinishinda pale uwanjani na kwanza kutokwa na maneno makali
Lakini si kwa kung'oa viti
Au kuharibu uwanja.

Tukumbuke kuna watu hawana uwanja kama huo
Wanakaa juani
Mpira ni burudani tu.

SIMBA DAIMA
 
ni kweli unachosema lakini mechi kama hizi zenye ushindani mkubwa refa anatakiwa kuwa makini na mwenye busara. fikiri anakataa goli halali halafu anakubali goli haramu na kadi juu vitu vingine hata kama ni sheria hekima pia itimike.

Kweli ndugu
 
Simba noma sana bila mizengwe ya refa Leo yanga wangipigwa za kutosha.
Ila masikitiko yangu n kumuona MBOWE anashabikia Yanga.
 
Simba noma sana bila mizengwe ya refa Leo yanga wangipigwa za kutosha.
Ila masikitiko yangu n kumuona MBOWE anashabikia Yanga.
hata mm na wale akina mdee
 
14449741_947254798737065_273331357847696965_n.jpg
 
Back
Top Bottom