Matokeo chanya kwa Simba

Matokeo chanya kwa Simba

8H3H8929.JPG
 
Ni upuuzi kumwacha Juuko nje yaani ni kama Mourinho kumwacha nje Mata
KIUKWELI nakuunga mkono toka nafsini ingawa kiuchambuzi kocha huenda yuko sahihi maana ukiangalia aina ya uchezaji wa Juuko na Mwanjali utagundua wote ni Sweepers hakuna stopper na kwa mvufo wa V Lufunga anamudu kucheza kama stopper ila si kwa mechi yenye washambulizi wa kasi kama Yanga so hii imeigharimu timu maana tulitegemea sub ya fowadi na si beki kama added advantage ............ila utagundua bado mwalimu anatambua umuhimu wa Juuko maana alimuingiza kuziba pengo la Mkude na likazibika
 
No,labda hukufuatilia vizuri,Juuko aliingia kuchukua nafasi ya Lufunga,kama umemfuatilia vzr Juuko ni flexible, anaweza kucheza kama sweeper na stopper,ndio maana alipoingia ukuta ulitulia na kumfanya Mwanjali awe anaanzisha na kupandisha mashambulizi kutokea nyuma,pia ni makosa kuwapanga Mwanjali na Lufunga ambao wote ni inexperienced wa mechi kubwa kama ya Yanga wakati Juuko ambaye ni mzoefu nazo na hajawahi kucheza chini ya kiwango yuko benchi.Kama uliangalia mechi na Majimaji,Juuko na Mwanjali walitengeneza upacha mzuri sana,ni wakati sasa kocha amrudishie Juuko heshima yake
 
Hizo zimetokea ngapi ..........???
Tunaongelea neno "kubebwa" ambalo mara nyingi ni wewe kufunga goli/magoli kisha refa bila sababu analikataa.
We jamaa lipumba kwel kwaio ajib lile alilofunga refa akasema offside ilikua sio goli, hujui football yanga si mumezoea netball ndomana lile la ajib mnaliona sio goli lakini la mkono ndo goli
 
Simba noma sana bila mizengwe ya refa Leo yanga wangipigwa za kutosha.
Ila masikitiko yangu n kumuona MBOWE anashabikia Yanga.

Mbowe kushabikia Yanga na masikitiko yako wapi na wapi sasa? Mbona hujasikitika Kasimu Majaliwa kuwa shabiki na mwanachama wa simba?yale ni mapenzi yake hayana uhusiano wowote na wewe jitahidi kuelewa nakukubali hilo,siyo kushabikia tu,Mbowe alishakuwa mdhamini wa yanga.
 
Binti hivi wewe unalijua soka au udandandia kwa vile "IMESIMAMA" .......???
Chukua hii ujue maana ya kubebwa.
1.Inatakiwa mufunge magoli kisha uone yamekataliwa.
2.Unastahili penalti lakini refa anapeta.
Ajibu alifunga nini likakataliwa? Au goli mpaka wafunge ya netball kama tambwe!?
 
We jamaa lipumba kwel kwaio ajib lile alilofunga refa akasema offside ilikua sio goli, hujui football yanga si mumezoea netball ndomana lile la ajib mnaliona sio goli lakini la mkono ndo goli
Nadhani mjamaa hakuangalia game maybe alikua anausikiliza redioni
 
Binti hivi wewe unalijua soka au udandandia kwa vile "IMESIMAMA" .......???
Chukua hii ujue maana ya kubebwa.
1.Inatakiwa mufunge magoli kisha uone yamekataliwa.
2.Unastahili penalti lakini refa anapeta.
Hiyo namba moja haikutomea eti dada?
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza viongozi wachezaji wanachama Na mashabiki wote wa Wekundu wa Msimbazi.Yaliyotokea uwanjani wote tumeyaona TFF wamempanga Refa Na kumpa maelekezo, goli la mkono,Refa kakataa goli lakini Mungu akafanya atakayo pamoja Na kubebwa kote Simba 1 Yanga 1.Watanzania kandanda waliloonyesha vijana wa Msimbazi wote mmeliona.
Tff sio inayopanga refa jaribu kujiongeza mkuu
 
Wakati huo huo anakuacha wewe ufunge,bila kulazimisha kuwa umezidi au kukupa kosa lolote litalokunyima goli.........Huku sio "kubebwa" kama anakubeba pia atahakikisha hufungwi.
Kwa goli la kichuya angelikataaje kwa mfano? Lile goli angepiga mtu kichwa au mpira ungeguswa na mchezaji mwingine ungekuwa offside
 
Back
Top Bottom