Matokeo chanya kwa Simba

daah tunashukuru sana maana tusingelala wiki nzima...
kwa kwei matokeo yangeumiza sana haya nadhani hata kuliko yaliyotangulia, kwanza Tambwe kutufnga tena lakini kupoteza mechi ya kwanza ya ligi ambayo bila shaka ingetuvuruga sana
 
Hebu wekeni Clip Kuthibitisha hayo Ili Na wengine Tujue Kama ni kweli Yaani Support ur Argument!
 
Unaongea kitu ani wewe shabiki wa yanga? kawapongeze yanga pia kamalizie mshiko wa refa
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza viongozi wachezaji wanachama Na mashabiki wote wa Wekundu wa Msimbazi.Yaliyotokea uwanjani wote tumeyaona TFF wamempanga Refa Na kumpa maelekezo, goli la mkono,Refa kakataa goli lakini Mungu akafanya atakayo pamoja Na kubebwa kote Simba 1 Yanga 1.Watanzania kandanda waliloonyesha vijana wa Msimbazi wote mmeliona.
 
Goal la Ajib la wazi kabisa
Goal la Tambwe la basketball [emoji119][emoji114]
Inauma sana japo najua hata wanajua waziwazi kuwa refa alikuwa kwao!
Ila wataenda kusimulia hadi msimu unaisha !!!
Binti hivi wewe unalijua soka au udandandia kwa vile "IMESIMAMA" .......???
Chukua hii ujue maana ya kubebwa.
1.Inatakiwa mufunge magoli kisha uone yamekataliwa.
2.Unastahili penalti lakini refa anapeta.
 
Jivunie chako mkuu ....haina maana kwamba marefa wa nje hawakosei kama unafuatilia sana mechi
ameanza kuangalia mechi majuzi usimlaumu, wingereza nako suala la marefa kuzingua lipo iwe bongo
 
Beki alimkimbia mshambuliaji Ajibu akafunga then refa anadai kaotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…