Matokeo chanya kwa Simba

kuna mzee hapa mtaani kwetu wakat mpira unaisha tambwe na yule refa sidhani kama wataonekana tena
 
Yanga mpira wao wa magazetini,

Washapoteza muelekeo baada ya kukodishwa,
 
Tuendelee kuwatetea marefa lakini ipo siku kutatokeo tukio ambalo halitasahaulika na litakuwa doa kubwa kwa TAIF
 
Nimeangalia tena hii video nimeona Yanga wakicheza iff side trick ya kizamani sana ukiachana na hiyo michoro kwenye social media yaani mchezaji anakimbia kabisa ili mshambuliaji awe kwenye off side position na baadae anampa dole mwamuzi msaidizi

 
yanga inafaaa mkicheza nao kuwe na magoli ya aina mbili, la netball na la mpira wa miguu!!! jinga kabisa!!!!! na refa wao!!! wameniboaje!??

Goli ni goli tu hata kama la dushe, nini la mkono?
 
Jivunie chako mkuu ....haina maana kwamba marefa wa nje hawakosei kama unafuatilia sana mechi
j
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…