Matokeo chanya kwa Simba

Matokeo chanya kwa Simba

vurugu.jpg
inauma sana
 
kuna mzee hapa mtaani kwetu wakat mpira unaisha tambwe na yule refa sidhani kama wataonekana tena
 
Tuendelee kuwatetea marefa lakini ipo siku kutatokeo tukio ambalo halitasahaulika na litakuwa doa kubwa kwa TAIF
 
Nimeangalia tena hii video nimeona Yanga wakicheza iff side trick ya kizamani sana ukiachana na hiyo michoro kwenye social media yaani mchezaji anakimbia kabisa ili mshambuliaji awe kwenye off side position na baadae anampa dole mwamuzi msaidizi

 
yanga inafaaa mkicheza nao kuwe na magoli ya aina mbili, la netball na la mpira wa miguu!!! jinga kabisa!!!!! na refa wao!!! wameniboaje!??

Goli ni goli tu hata kama la dushe, nini la mkono?
 
Jivunie chako mkuu ....haina maana kwamba marefa wa nje hawakosei kama unafuatilia sana mechi
j



Napongeza wachezaji mashabiki wanachama na wanazi wa timu zote mbili kwa mechi ya leo na kushukuru kwamba hakukua na maafa makubwa, Kipekee niwapongeze sana simba kwa kupigana hadi dk ya mwisho na Blagnon kweli amewakosa goli lawazi kabisa la ushindi tena kizembe kwa kuamini katika woga na kumtegemea mwamuzi

Licha ya kuwepo na changamoto kwenye mchezo wa Yanga vs Simba wa October 1 bado kuna wachezaji walionesha uungwana ndani ya dakika 90 huku makocha pia wakiwa mfano katika hilo.
IMG_0203.jpg


Masuala ya Refa na kadi tuyaache kama kwamba yamepita kwani maamuzi yake hayabadiliki na yeye ni Binadamu, kuona mpira umeshikwa au la si kazi rahisi sana kwa watu 3 kati ya 22 uwanjani na off side ni moja ya sheria ngumu sana katika mchezo wa soka.
14519779_1586884261618091_4946964659417414098_n.jpg

Naangalia mahali aliposimama refa na tukio la mpira kushikwa ................na hata iweje ile high ball ya Twite kuiwahi hadi alipokua Tambwe labda uwe na mabawa na wewe......na rahisi kuthibitisha kwa kuangalia marudio ya video, japo pia mwamuzi msaidizi alitakiwa kuliona lile tukio lakini pia ni kama alipewa mgongo na Tambwe

IMG_0160.jpg

Ima ni refa mzembe tu atakuachia umsukumesukume na matusi juu na akuachie tu bila ya kukupa kadi
img_1475338975-099317-jpg.410405

Nalaani sana fujo zilizofanywa na washabiki wa simba kung'oa ili kesho waje wadai HAKUNA viti, huu unaweza kuufananisha na utashi nje ya mwanadamu kwani si akili ya kawaida sana HII, pamoja na kugubikwa na jazba lakini NI UJINGA TU KUAMINI KWAMBA KUVUNJA VITI KUTAPOZA JAZBA YAKO
20161001_182027.jpg


IMG_0181.jpg



Nikiwa nasubiri kwa hamu mapato ya mecho ya leo kwa kutumia teknolojia, bado nina wasiwasi na kugubikwa kwa hujuma, kwamba zoezi limtewaliwa na vitimbi vya ugumu wa kupatikana kwa tiketi ili 'isije kuonekana jinsi wajanja wanavyopiga kwenye hizi mechi'

Matokeo ya leo yamekuwa muhimu sana kwa Simba, nilikua nikiwaambia watu kwamba kwa msimu uliopita simba alikua na matokeo kama haya na hata wakajiamini kiasi cha Kiiza Kuonesha kwamba bado muda tu, lakini tukumbuke jinsi ambavyo baada ya kipigo, Simba ilisambaratika, so kipigo cha leo huenda kingetutoa kwenye RELI kabisa,

Hii maana yake ni kwamba kwa pengo la pointi sita na kwa mtiririko wa matokeo kwa Simba licha ya kudumisha mshikamano miongoni mwa wachezaji, pia unachchea morali wa kufanya vizuri zaidi na kutafutwa kuungwa mkono na washabiki

KWA UPANDE WA YANGA...........ZITAFAKARINI NJIA ZENU.....ILA NIMEMKUBALI SANA DANTE NI EXIT STRATEGY NZURI SANA KWA UKUTA WA YANGA KWANI NAIONA NYOTA YA KIJANI KWA MABEKI NGULI
MMG_3277.jpg


Ila dhahiri shari, kiuongo kinahitaji marekebisho makubwa, hakuna uelewani kabisa na hivyo kuifanya safu ya ushambulizi kushuka kuchukua mipira, na tatizo hili nililiona tangu mechi ya Stand United
unnamed-10.jpg


Simba ikiwa pungufu imeizidi Yanga kwa kumiliki mpira na mbaya na hii ilikua inajidhihirisha kwa mwenendo wa mechi kwani Yanga iliyokua inaongoza kumiliki iliendelea kupungua kadri ya mchezo ULIVYOYOYOMA na hatimaye kuzidiwa kabisa mwishoni mwa mchezo dhahiri kuonesha kwamba Timu inachoka ......zaidi kuonesha kwamba YANGA dhaifu ni idadi ya rafu walizocheza mara mbili zaidi ya simba (22/12) na Kadi TATU ZA NJANO dhidi ya moja ya Simba huku Simba ikipiga mashuti mengi na kona nyingi zaidi ya YANGA....

14440856_1587044034935447_4022957389864721918_n.jpg




 
Back
Top Bottom