Kuna kitu tunaajastiWanabodi salaam
Watoto wa darasa la nne wamefanya mitihani yao hapo Oktoba na sasa wazazi na walezi wanajiandaa kwa ngwe ya darasa la tano.
Lakini wanawezaje kufanya maandalizi bila kufahamu matokeo ya vijana wao?
Serikali izingatie kutoa matokeo kwa wakati tafadhali
Hivi hawajamaliza bado mpaka leo? Nimejiuliza mbona ni tofauti na miaka ya nyuma, wiki 3 tu wamemaliza F2 na F4Walioenda kusahihisha mitihani wamekula sikukuu zote huko.
Kunani kwani?
F2 yanatoka leo au kesho ila F4 wacheze nayo kwanzaNchi ambayo serikali inaiba kura kusaidia chama tawala, ni rahisi mno kuiba matokeo ya mitihani na kupanga watakavyo
Wanatengeneza ile kitu..Mamasamia amesaidia ufaulu kuongezekaHivi hawajamaliza bado mpaka leo? Nimejiuliza mbona ni tofauti na miaka ya nyuma, wiki 3 tu wamemaliza F2 na F4
Mkuu angalia matokeo yake ya mtihani wa mwezi wa Sita yatakupa picha ila la nne kufaulu huwa ni rahisi sana japo kwa Sasa hata la saba ni rahisi maana walimu wanafundisha sanaDarasa la nne wanatoa lini?
Mtoto wa kala yangu kahitimu darasa la nne, tunataka kujua kama kafaulu au la
Kidato cha ni tar 15/01. Mark thisJanuary Hii Watatangaza Matokeo Hayo Pia Tunangoja Matokeo Mengi
Darasa La Nne, Kidato Cha Pili, Kidato Cha Nne
Tuvute Subira
Na Kidato cha Nne kwa pamoja.Kwa uzoefu wa mwaka uliopita na miaka ya nyuma, matokeo ya darasa ya nne huwa yanatangazwa mwanzoni Januari pamoja na matokeo ya kidato cha pili.
J3 kivipi ilihali masomo ndiyo yanaanza kwa kidato cha 3 na darasa la 5?Watatanga za Kesho au Jumatu.
Walilalama sanaTangazo hiliView attachment 2863985