Matokeo darasa la nne yamechelewa sana

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania kesho tarehe 07/01/2024 atatangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili mwaka 2023. Matangazo hayo yatarushwa mubashara (live) kupitia YouTube ya NECTA (Necta Online) kuanzia saa 7:00 mchana.
By Dr Lukwaro
 
Oya kweli au ?? Dr lukwaro ndio nani ?
 
Kwa matokeo haya tusubiri zero nyingi kidato cha nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…