The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Nimejaribu kuzura kuangalia matokeo kwa shule mbalimbali nikilinganisha.privaye schools na kayumba napaa wasiwasi hujuma inafanyika kuzipa promo private schools.
Kwa kweli Matoleo ya ovyo mno tena ovyo kabisa kwa kayumba schools. Asilimia kubwa ya shule hizi wana wastani wa C, huku privtae schools zote kwa asilimia kubwa zikiwa na A.
Najiuliza yafuatayo.
1. Nani anasimamia kwa karibu ufundishaji wa wanafunzi government schools. Maana Matokeo ni ya ovyo kila mwaka.
2. Hivi hawa watoto wa government schools ni wajinga kiasi hicho kwamba hawafundishiki kupata A? mimi nakataa kuna watoto wana akili Nyingi sana sema usimamizi hakuna.
3. Hawa walimu wanaoajiliwa kila siku kwa wingi huwa wanafanya kazi gani kama matokeo ni C?
4. Zaidi ya 70% ya wanafunzi wote ni kayumba schools na matokeo yao ndiyo kama hayo tunatengeneza taifa gani kwa utofauti huu kama wachache wanapata elimu, bora halafu walio wengi wanaachwa ovyo ovyo?
5. Hawa wazazi wasiokuwa na uwezo wa kusomesha hizi shule za magari ya njano hawatendewi haki maana kuna watoto wengine ni yatima si kila mtu anaweza kusomesha huko kwa ufupi.
5. Nahisi watawala wana shule zao huko private wanachakachua elimu ya government chools ionekane ya ovyo ili wapate wateja kwenye mashule yao maana hawatilli maanani kabisa