Matokeo darasa la saba 2024, kuna kila dalili hujuma zinafanyika dhidi Shule za Kayumba

Fainali chuo, labda ukasome nje.

Kwahiyo sioni tatizo.
Kuna tofauti kubwa sana ya kujiamini, kujieleza, kutafakari, kuwa muoga au jasiri baina ya mtu aliyesoma shule ya maana utotoni na mtu aliyesoma shule inayojengewa vyoo baada ya World Bank kutoa fedha za majanga ya COVID-19.

Mchukue mtoto amesoma akikimbiza mifagio na kujisaidia akipiga timing choo cha shimo kilichonyeshewa mvua kikajaa maji, mlinganishe na aliyesoma shule ina mazingira ya utu na ubinadamu utaelewa.
 
Nimejaribu kuzura kuangalia matokeo kwa shule mbalimbali nikilinganisha.privaye schools na kayumba napaa was8wasi hujuma inafanyika kuzioata promo private schools.

KwakwelinMatoleo ninua hovyo mno..tena bivyo kabisa kwa kayumba schools. Asilimia.kubwa ya shule hizi wanawastani wa C. huku privtae schools zote kwa asilimia.kubwa zikiwa na A.

Najiuliza yafuatayo.

1.Nani anasimamia.kwa karibu ufundishaji wa wanafunzi government schools. Mana Matokeo ni ya hovyo kila.mwaka.

2.Hivi hawa watoto wa government schools ni wajinga kiasi hicho kwamba hawafundishiki kupata A. .mimi nakataa kuna watoto wana akili Nyingi sana sema usimamozi hakuna.

3.Hawa walinu wanaoajiliwa kila siku kwa wingi huwa wanafanya kazi gani kama.matokeo ni.C.

4.Zaidi ya 70% ya wanfunzi wote ni kayumba schools na matoleo yao ndiyo kama hayo tunatengeneza taifa gani kwa utofauti huu Kama waahache wanapata elimu.bora halafu walio wengi wanaachwa hovyohovyo.

5. Hawa wazazi wasiokuwa na uwezo wakusomesha hizi shule za.magari ya njano hawatendewi haki maana kuna.watoto.wengine ni yatima si.kila mtu anaweza.kusomesha huko kwa ufupi..

5..Nahisi watawala wana shule.zao huko private wanachakachua elimu ya government chools ionekane ya hovyo ili wapate wateja kwenye mashule yao. Maana Hawatilli.maanani.kabisa
Acha uvivu wa kufikiri...
Tembelea Hizo kayumba ujionee hali halisi..

Unataka uokote almasi jalalani.
 
Hizo shule za private pamoja na kuwa na mazingira mazuri ya kujifunzia wanachofanya wanachuja wanafunzi kulingangana na uwezo wao wa kujifunza. Sisi serikalini tunafundisha wote bila ubaguzi wa uwezo wa kujifunza ndo maana unakuta matokeo ni mchanganyiko. Kama unataka matokeo ya private na serikali yafanane waambie serikali ipige marufuku shule za private waache tabia ya kuchuja wanafunzi yaani kuwafanyisha interview uone mziki utakavyokuwa. Unachopaswa kutambua ni kuwa uwezo wa kiakili kwa binadamu ni tofauti kwa mtu na mtu.
 
Magufuli hayupo, jikite kwenye mada

Leta matokeo ya mwaka huu
 
Hizo shule za private pamoja na kuwa na mazingira mazuri ya kujifunzia wanachofanya wanachuja wanafunzi kulingangana na uwezo wao wa kujifunza. Sisi serikalini tunafundisha wote bila ubaguzi wa uwezo wa kujifunza ndo maana unakuta matokeo ni mchanganyiko. Kama unataka matokeo ya private na serikali yafanane waambie serikali ipige marufuku shule za private waache tabia ya kuchuja wanafunzi yaani kuwafanyisha interview uone mziki utakavyokuwa. Unachopaswa kutambua ni kuwa uwezo wa kiakili kwa binadamu ni tofauti kwa mtu na mtu.
Kwa hiyo serikalini wanafunzi wote uwezo wao ni mdogo. Imagine kuna shule hata mwansfunzi mmoja wa wastani wa A.hakuna na wanafunzi wapo zaidi ya 200. Bado kuna Tatizo
 
Kwahiyo uwezo wako wote wa kufikiria umeishia kwenye hujuma 😳.Mazingira mabaya ya kazi,ukosefu wa usimamizi makini,madarasa mabovu,huduma mbaya kwa walimu,mishahara duni na mapungufu mengine kwenye shule za serikali haukuyaona.
Ndo hujuma zenyewe hizo. Kuna shule zipo katikati ya mji ila matokeo ni sufuri nazo zina mazingira magumu?
 
Okee okee
Grade Average : C

Karibu shule zote za Serikali yaan mpaka sijaelewa imekuaje inamaanisha walimu ndio vilaza wanawaambukiza wanafunzi ukilaza au walimu huko shule za msingi za Serikali wana shughuli zingine sio kwamba wanafundisha na kuna madogo wamekula Grade Average D na wengi ni mabinti maana yake aidha waache shule maana Sekondari haiwezekani kuendelea hio grade avarage inawakataa waje basi mtaani wazisake mimba vizuri au la warudie darasa la 7

Nna evidence (ushahidi) kuna mwanafunzi binti amerudia kuanzia 2020,2021,2022,2023 hii 2024 na zote amefeli darasa hilo hilo la 7 shule ni ile ile ya Serikali wenzie waliofeli wakitolewa reference yeye wanasema mimi sirudi ngoja nisubiri umri usogee nifike 18 hapo nipate kibwana uchwara huku mtaani kiniweke ndani na wengi waliokula D ni rafiki zake na Zuchu wakina Siendi Nasema Sienda Nauli yake Nakula Nasema Siendi sasa wamekula D tunawasubiri mtaani wakipigwa mimba hakuna jela maana hawana shule tena

Kuna shule nimeangalia ni Private hakuna mtoto aliepata B wote wamekula A

Screenshot_20241030-003751.png

Ahsante Necta, Nactvet, Baraza la Mitihani, Wizara ya Elimu na Wadau wote waliowezesha wimbi hili la mabinti kuingia mtaani wakiwa darasa la 7 failure kifuatacho ni mimba mimba mimba maana hapo age ni 13,14 & 15 na 16 kwa mbaaali wanaelekea 17 yaan bado wabichi wabiiiichi hapo tuchuchu ndio tunaanza kusimama na bikra safi ee Maria nisipotee nisimamie mlinzi mkuu Malaika wee kwa Mungu wetu niombee
 
View attachment 3138692

Nendeni private muone walimu wanavyopambana...
Alafu mrudi huku Kayumba muone walimu walivyo busy na mikopo na vikoba (kausha damu)
 
Acha mkome, watoto wenu wakikosea wakitandikwa bakora 4 mnawasema walimu ni wauaji, makatili, nk na bado, hapo umeangalia tu taaluma, bado nidhamu na maadili, hali inatisha, utamfundishaje mtoto kamtukana mwalim,au kagomea adhabu, muda wa kipindi kakimbia kucheza pool table, akitandikwa mnasena walimu makatili,,, huo ni mwanzo tu, yajayo yanafurahisha
Hii sindano ni ya moto sanaaaaaaa.
Kwakifupi wazaz kwq kushirikiana na serikali wanaongoza kuwakatisha tamaa walimu wa serikali wasijue wqnakomoa watoto wao na taifa lao.

Huwez fundisha mtoto asiye na nidhamu
 
Nimejaribu kuzura kuangalia matokeo kwa shule mbalimbali nikilinganisha.privaye schools na kayumba napaa was8wasi hujuma inafanyika kuzioata promo private schools.

KwakwelinMatoleo ninua hovyo mno..tena bivyo kabisa kwa kayumba schools. Asilimia.kubwa ya shule hizi wanawastani wa C. huku privtae schools zote kwa asilimia.kubwa zikiwa na A.

Najiuliza yafuatayo.

1.Nani anasimamia.kwa karibu ufundishaji wa wanafunzi government schools. Mana Matokeo ni ya hovyo kila.mwaka.

2.Hivi hawa watoto wa government schools ni wajinga kiasi hicho kwamba hawafundishiki kupata A. .mimi nakataa kuna watoto wana akili Nyingi sana sema usimamozi hakuna.

3.Hawa walinu wanaoajiliwa kila siku kwa wingi huwa wanafanya kazi gani kama.matokeo ni.C.

4.Zaidi ya 70% ya wanfunzi wote ni kayumba schools na matoleo yao ndiyo kama hayo tunatengeneza taifa gani kwa utofauti huu Kama waahache wanapata elimu.bora halafu walio wengi wanaachwa hovyohovyo.

5. Hawa wazazi wasiokuwa na uwezo wakusomesha hizi shule za.magari ya njano hawatendewi haki maana kuna.watoto.wengine ni yatima si.kila mtu anaweza.kusomesha huko kwa ufupi..

5..Nahisi watawala wana shule.zao huko private wanachakachua elimu ya government chools ionekane ya hovyo ili wapate wateja kwenye mashule yao. Maana Hawatilli.maanani.kabisa
Tembea uyaone huko unaita st. Kayumba
1. Watoto wanakaa sakafuni au chini ya mti/ yaan kiufupi mazingira ni duni mno
2. Alafu it is as if shule zimekuwa overpopulated mno kuzidi caring capacity
 
Hao watoto wanamazingira mabaya kuanzia nyumbani, njiani mpaka shuleni. Ufauru utoke wapi?

Tulio soma Kayumba, tunajua kua walimu wanajitahidi kwa 100% kutimiza majukumu yao, Wakati mwingine mpaka kuwalipia wanafunzi ada baada ya kuona mzazi hajali.

Ukiweza peleka mwanao huko private
 
Grade Average : C

Karibu shule zote za Serikali yaan mpaka sijaelewa imekuaje inamaanisha walimu ndio vilaza wanawaambukiza wanafunzi ukilaza au walimu huko shule za msingi za Serikali wana shughuli zingine sio kwamba wanafundisha na kuna madogo wamekula Grade Average D na wengi ni mabinti maana yake aidha waache shule maana Sekondari haiwezekani kuendelea hio grade avarage inawakataa waje basi mtaani wazisake mimba vizuri au la warudie darasa la 7

Nna evidence (ushahidi) kuna mwanafunzi binti amerudia kuanzia 2020,2021,2022,2023 hii 2024 na zote amefeli darasa hilo hilo la 7 shule ni ile ile ya Serikali wenzie waliofeli wakitolewa reference yeye wanasema mimi sirudi ngoja nisubiri umri usogee nifike 18 hapo nipate kibwana uchwara huku mtaani kiniweke ndani na wengi waliokula D ni rafiki zake na Zuchu wakina Siendi Nasema Sienda Nauli yake Nakula Nasema Siendi sasa wamekula D tunawasubiri mtaani wakipigwa mimba hakuna jela maana hawana shule tena

Kuna shule nimeangalia ni Private hakuna mtoto aliepata B wote wamekula A

View attachment 3138692

Ahsante Necta, Nactvet, Baraza la Mitihani, Wizara ya Elimu na Wadau wote waliowezesha wimbi hili la mabinti kuingia mtaani wakiwa darasa la 7 failure kifuatacho ni mimba mimba mimba maana hapo age ni 13,14 & 15 na 16 kwa mbaaali wanaelekea 17 yaan bado wabichi wabiiiichi hapo tuchuchu ndio tunaanza kusimama na bikra safi ee Maria nisipotee nisimamie mlinzi mkuu Malaika wee kwa Mungu wetu niombee
Mbona kama unafurahia anguko la watoto wetu 🙄
 
Ukweli kabisa na mimi baada ya kuona bandiko hili imebidi nifuatilie shule za msingi maeneo ninayoishi zile za English medium na hizi za kwetu za kawaida kwakwel hali ni mbaya, shule za serikali ufaulu ni hafifu sana darasa lina wanafunzi 300 wenye ufaulu wa Grade A wako 35, Grade C 134, Grade B 117 wanaobak D na E. na ukija kwenye machaguo ya shule, zile shule za serikali ambazo ziko vizuri wanachukua wenye Grade A hawa wengine wanabaki shule za humu humu. Hapo kila mzazi apambanie mtoto wake
 
Wajenge mashule kwaajili ya biashara tena kwa gharama kubwa,halafu wakae tu wanatazama shule za Kayumba zikiwapita,lazima wajiongeze,kwakuwa hayo mashule walioyajenga sio huduma ya bure kwa jamii,ni biashara tena ni baishara inayolipa sana,kwahiyo uwezekano wa hujuma upo sana......
 
Hali ni tete sana katika shule za kayumba. Niliwahi kumfundisha mwanafunzi kidato cha kwanza asiyejua kuzidisha 12×12, anasoma kwa tabu sana, kiingereza ndio zero kabisa.
Lakini ukiangalia private mwanangu yuko middle class (chekechea) anaweza kusoma na kuongea kingereza cha kitoto. Wa darasa la pili ndio anaongea kingereza kizuri, anasoma vizuri na hesabu anafanya vizuri, sayansi anayosoma nilisoma mimi sekondari.
Tatizo kubwa haswa kwa shule za kayumba za sasa tofauti na zamani tulizosoma sisi, ni kwanza walimu kutokuwa na mwamko wa kufundisha (ni kama hawana wito), wnafunzi kuwa wengi sana darasani, miundombinu mibovu nk.
Lakini ukiangalia kwa makini yote nj kwa sababu ya mapato madogo ambayo mwalimu anapata, kama unavojua vijana wa sasa tunamatazamio fulani ya maisha tunayoyataka. (Maisha mazuri, ndinga, nyumba, familia bora, vacation nk). Lakini kwa maisha na kazi ya ualimu hasa kayumba ni kama ndoto, hivyo waalimu wengi wa kayumba wanafanya kazi nyingine (bodaboda, kilimo, maduka) huwa wanakuja shule kusaini tu. Serikali ionngeze stahiki za walimu, maisha ya sasa hayaendani na mishahara yao.
 
Back
Top Bottom