Matokeo darasa la saba 2024, kuna kila dalili hujuma zinafanyika dhidi Shule za Kayumba

Matokeo darasa la saba 2024, kuna kila dalili hujuma zinafanyika dhidi Shule za Kayumba

Wajenge mashule kwa jili ya biashara tena kwa gharama kubwa,halafu wakae tu wanatazama shule za Kayumba zikiwapita,lazima wajiongeze,kwakuwa hayo mashule walioyajenga sio huduma ya bure kwa jamii,ni biashara tena ni baishara inayolipa sana,kwahiyo uwezekano wa hujuma upo sana......
I agree with you
 
Sasa mnataka muwe sawa mtu analipa ada kwa mwaka miljon 3 ww elimu bure ivi hata kwa akili za kawaida huwez changanua mambo
 
Mbona kama unafurahia anguko la watoto wetu 🙄
Mboga za mtaa zinaachiwa hao madogo waliokula D na E kwa wingi ndio wale ikipigwa nyimbo ya Siendi Siendi Nimekula Nauli Siendi hao ndio wale utawaona wanacheza kwa mikogo zaidi yaan wale wanaoshupalia wimbo sasa wataendesha miguu na kwenda
 
Do your reseach again, hao watoto wa English medium wana mazingira rafiki na bora, isitoshe hizo post za kwenda secondary wataachia haohao Kayumba wajaze nafasi hao wataanza pre form one na kuendelelea na Olevel kwenye private school.

Kwahiyo usikonde watoto wa rafiki zake Magufuli maskini na wanyonge nafasi zenu ziko palepale.
Ahsante sana Dr Matola
 
Acha mkome, watoto wenu wakikosea wakitandikwa bakora 4 mnawasema walimu ni wauaji, makatili, nk na bado, hapo umeangalia tu taaluma, bado nidhamu na maadili, hali inatisha, utamfundishaje mtoto kamtukana mwalim,au kagomea adhabu, muda wa kipindi kakimbia kucheza pool table, akitandikwa mnasena walimu makatili,,, huo ni mwanzo tu, yajayo yanafurahisha
Hii sindano sijui ya dawa gani umewachoma gen z na wazazi wapumbavu wasiwajibika kuhusu malezi ya watoto wao!?

Kama mwlm hathaminiwi na muajiri mpka wazazi bado anawadai waajiri wake, yaani unaenda kumkagua mwl na v6-8 na kumporomoshea matusi bila kujua changamoto yake!!!

Mwanao katoroka /kakataa adhabu ukiitwa unamtuma kaka yake ammbaye kanyoa bwenzi kama kuku kishingo wanajadiliana nn na mwlm.

Na bado watoto wa EMs walawitiwe mpaka mjue kuwa shule ndiyo inayojenga jamii na taifa
 
Nimejaribu kuzura kuangalia matokeo kwa shule mbalimbali nikilinganisha.privaye schools na kayumba napaa wasiwasi hujuma inafanyika kuzipa promo private schools.

Kwa kweli Matoleo ya ovyo mno tena ovyo kabisa kwa kayumba schools. Asilimia kubwa ya shule hizi wana wastani wa C, huku privtae schools zote kwa asilimia kubwa zikiwa na A.

Najiuliza yafuatayo.

1. Nani anasimamia kwa karibu ufundishaji wa wanafunzi government schools. Maana Matokeo ni ya ovyo kila mwaka.

2. Hivi hawa watoto wa government schools ni wajinga kiasi hicho kwamba hawafundishiki kupata A? mimi nakataa kuna watoto wana akili Nyingi sana sema usimamizi hakuna.

3. Hawa walimu wanaoajiliwa kila siku kwa wingi huwa wanafanya kazi gani kama matokeo ni C?

4. Zaidi ya 70% ya wanafunzi wote ni kayumba schools na matokeo yao ndiyo kama hayo tunatengeneza taifa gani kwa utofauti huu kama wachache wanapata elimu, bora halafu walio wengi wanaachwa ovyo ovyo?

5. Hawa wazazi wasiokuwa na uwezo wa kusomesha hizi shule za magari ya njano hawatendewi haki maana kuna watoto wengine ni yatima si kila mtu anaweza kusomesha huko kwa ufupi.

5. Nahisi watawala wana shule zao huko private wanachakachua elimu ya government chools ionekane ya ovyo ili wapate wateja kwenye mashule yao maana hawatilli maanani kabisa
Siasa inauma elimu katika shule za serikali. Just imagine shule za serikali mitihani ya ndani waalimu wanaandika ubaoni, hivi kutakuwa na efficiency Gani .
 
Wapi wanaotupigia kelele kuwa tusomeshe watoto Kayumba? Serikali haijali walimu na walimu hawajali tena kazi yao wanajifanyia biashara na kilimo na kupokea mishahara.
Kuna mtu atakwambia kuwa wote watasoma sekondari. Hilo halina ubishi. Mzazi mmoja atapeleka mwanaye Canosa na Mazinde Juu sec. LIKUD na wenzie watapeleka watoto wao Mavurunza Sec. Watamaliza sekondari.

Halafu uende Muhimbili chuo kikuu cha afya na tiba uangalie watoto waliotoka Mavurunza wako wangapi pale na walitoka Canosa wako wangapi. Jibu baki nalo.
Lakini acha inyeshe bado kidogo tutaona panapovuja
 
Noma sana aisee. Watoto WA kayumba wamejitahidi sana. Wate waendelee na masomo kwa hatua inayofuata.
 
Nimejaribu kuzura kuangalia matokeo kwa shule mbalimbali nikilinganisha.privaye schools na kayumba napaa wasiwasi hujuma inafanyika kuzipa promo private schools.

Kwa kweli Matoleo ya ovyo mno tena ovyo kabisa kwa kayumba schools. Asilimia kubwa ya shule hizi wana wastani wa C, huku privtae schools zote kwa asilimia kubwa zikiwa na A.

Najiuliza yafuatayo.

1. Nani anasimamia kwa karibu ufundishaji wa wanafunzi government schools. Maana Matokeo ni ya ovyo kila mwaka.

2. Hivi hawa watoto wa government schools ni wajinga kiasi hicho kwamba hawafundishiki kupata A? mimi nakataa kuna watoto wana akili Nyingi sana sema usimamizi hakuna.

3. Hawa walimu wanaoajiliwa kila siku kwa wingi huwa wanafanya kazi gani kama matokeo ni C?

4. Zaidi ya 70% ya wanafunzi wote ni kayumba schools na matokeo yao ndiyo kama hayo tunatengeneza taifa gani kwa utofauti huu kama wachache wanapata elimu, bora halafu walio wengi wanaachwa ovyo ovyo?

5. Hawa wazazi wasiokuwa na uwezo wa kusomesha hizi shule za magari ya njano hawatendewi haki maana kuna watoto wengine ni yatima si kila mtu anaweza kusomesha huko kwa ufupi.

5. Nahisi watawala wana shule zao huko private wanachakachua elimu ya government chools ionekane ya ovyo ili wapate wateja kwenye mashule yao maana hawatilli maanani kabisa
Wakitoka hapo wanapelekwa shule za kata wanakaa huko miaka 4 alafu wanatoka na div zero wengine four biashara inakuwa imeishia hapo
 
Back
Top Bottom