The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
- Thread starter
-
- #41
I agree with youWajenge mashule kwa jili ya biashara tena kwa gharama kubwa,halafu wakae tu wanatazama shule za Kayumba zikiwapita,lazima wajiongeze,kwakuwa hayo mashule walioyajenga sio huduma ya bure kwa jamii,ni biashara tena ni baishara inayolipa sana,kwahiyo uwezekano wa hujuma upo sana......
Mboga za mtaa zinaachiwa hao madogo waliokula D na E kwa wingi ndio wale ikipigwa nyimbo ya Siendi Siendi Nimekula Nauli Siendi hao ndio wale utawaona wanacheza kwa mikogo zaidi yaan wale wanaoshupalia wimbo sasa wataendesha miguu na kwendaMbona kama unafurahia anguko la watoto wetu 🙄
Ahsante sana Dr MatolaDo your reseach again, hao watoto wa English medium wana mazingira rafiki na bora, isitoshe hizo post za kwenda secondary wataachia haohao Kayumba wajaze nafasi hao wataanza pre form one na kuendelelea na Olevel kwenye private school.
Kwahiyo usikonde watoto wa rafiki zake Magufuli maskini na wanyonge nafasi zenu ziko palepale.
Hii sindano sijui ya dawa gani umewachoma gen z na wazazi wapumbavu wasiwajibika kuhusu malezi ya watoto wao!?Acha mkome, watoto wenu wakikosea wakitandikwa bakora 4 mnawasema walimu ni wauaji, makatili, nk na bado, hapo umeangalia tu taaluma, bado nidhamu na maadili, hali inatisha, utamfundishaje mtoto kamtukana mwalim,au kagomea adhabu, muda wa kipindi kakimbia kucheza pool table, akitandikwa mnasena walimu makatili,,, huo ni mwanzo tu, yajayo yanafurahisha
Siasa inauma elimu katika shule za serikali. Just imagine shule za serikali mitihani ya ndani waalimu wanaandika ubaoni, hivi kutakuwa na efficiency Gani .Nimejaribu kuzura kuangalia matokeo kwa shule mbalimbali nikilinganisha.privaye schools na kayumba napaa wasiwasi hujuma inafanyika kuzipa promo private schools.
Kwa kweli Matoleo ya ovyo mno tena ovyo kabisa kwa kayumba schools. Asilimia kubwa ya shule hizi wana wastani wa C, huku privtae schools zote kwa asilimia kubwa zikiwa na A.
Najiuliza yafuatayo.
1. Nani anasimamia kwa karibu ufundishaji wa wanafunzi government schools. Maana Matokeo ni ya ovyo kila mwaka.
2. Hivi hawa watoto wa government schools ni wajinga kiasi hicho kwamba hawafundishiki kupata A? mimi nakataa kuna watoto wana akili Nyingi sana sema usimamizi hakuna.
3. Hawa walimu wanaoajiliwa kila siku kwa wingi huwa wanafanya kazi gani kama matokeo ni C?
4. Zaidi ya 70% ya wanafunzi wote ni kayumba schools na matokeo yao ndiyo kama hayo tunatengeneza taifa gani kwa utofauti huu kama wachache wanapata elimu, bora halafu walio wengi wanaachwa ovyo ovyo?
5. Hawa wazazi wasiokuwa na uwezo wa kusomesha hizi shule za magari ya njano hawatendewi haki maana kuna watoto wengine ni yatima si kila mtu anaweza kusomesha huko kwa ufupi.
5. Nahisi watawala wana shule zao huko private wanachakachua elimu ya government chools ionekane ya ovyo ili wapate wateja kwenye mashule yao maana hawatilli maanani kabisa
Daah kama mzazi naogopaaaaHii ni hali ya kawaida tu shuleni
Wakitoka hapo wanapelekwa shule za kata wanakaa huko miaka 4 alafu wanatoka na div zero wengine four biashara inakuwa imeishia hapoNimejaribu kuzura kuangalia matokeo kwa shule mbalimbali nikilinganisha.privaye schools na kayumba napaa wasiwasi hujuma inafanyika kuzipa promo private schools.