Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
ila mpe tahadhari !kama akikamatwa na nyaraka za siri za serikali, bila ruhusa adhabu yake ni 20 years imprisonmentAkusanye ushahidi wa hayo makaratasi ya matokeo halisi ikiwezekana na scripts chache za wanafunzi ambao anuhakika wamefeli lakini wamepewa marks za bure. He can collect as many as possible ushahidi uwe na nguvu vinginevyo watakufukuza na hutakuwa na ushahidi wa kuwabana,.
hata kama kuna mpango wa kumuua mkeo au ndugu yako yoyote ukae kimya kisa mamalaka ya juu imesema na wewe ni mtumishi wa umaa? khaaaahuyu bwana anakosea kabisa!na anakiuka miiko ya utumishi wa umma
kama amepewa maagizo kutoka juu anatakiwa atekeleze ,kama anaona kitamtia hatiani akwepe sio kukataa kutamletea matatizo makubwa,maamuzi mengine huwa ya nakuwa kwa maslahii ya nchi si vizuri kuanza kuyatilia shaka
pia huyo bwana anatoa siri za ofisi kwa watu wanjee sio jambo jema kwa mtumishi wa umma aliyekula kiapo cha utii kwa serikali iliyopo madarakani
kama ni mueledi unatakiwa upime maamuzi kwa sababu na wewe una mipaka yako!
Serikali inabaka elimu. Jana nilipigiwa simu na Afisa mmoja wa Baraza la Taifa la Mitihani akiniomba msaada wa kisheria.Ni juu ya kutishiwa kwake kufukuzwa kazi kama hatakubali kupitisha matokeo ya darasa la saba 'yaliyotengenezwa'. Afisa huyo wa Idara ya Mitaala,pamoja na vigogo wenzake NECTA,walipokea amri kutoka Mamlaka za juu za nchi wahakikishe kuwa matokeo ya darasa la saba yanavutia. Yeye akaonesha kugomea amri hiyo. Kazi yake iko mashakani.
Sasa ananiandaa niwe Wakili wake pale atakapofukuzwa kazi kwa kugomea kupitisha matokeo yaliyochakachuliwa. Mimi niko tayari.Nimemwambia aendelee kukusanya nyaraka ili tuuwashe moto. Elimu yetu inadhalilishwa,inabakwa,inauliwa.Hatuwezi kukubali.
NB: Matokeo yatatangazwa wakati wowote kuanzia leo
tukianza kuleta mchezo kwenye swala la elimu ujue tanzania tumeshaichimbia kaburi tena la futi 100.
Una maana gani? acha kuongea kimajungumajungu kama Nape
It's only happens in Tanzania!
Serikali inabaka elimu. Jana nilipigiwa simu na Afisa mmoja wa Baraza la Taifa la Mitihani akiniomba msaada wa kisheria.Ni juu ya kutishiwa kwake kufukuzwa kazi kama hatakubali kupitisha matokeo ya darasa la saba 'yaliyotengenezwa'. Afisa huyo wa Idara ya Mitaala,pamoja na vigogo wenzake NECTA,walipokea amri kutoka Mamlaka za juu za nchi wahakikishe kuwa matokeo ya darasa la saba yanavutia. Yeye akaonesha kugomea amri hiyo. Kazi yake iko mashakani.
Sasa ananiandaa niwe Wakili wake pale atakapofukuzwa kazi kwa kugomea kupitisha matokeo yaliyochakachuliwa. Mimi niko tayari.Nimemwambia aendelee kukusanya nyaraka ili tuuwashe moto. Elimu yetu inadhalilishwa,inabakwa,inauliwa.Hatuwezi kukubali.
NB: Matokeo yatatangazwa wakati wowote kuanzia leo
Kweli, upo sahihi. Nilipitiwa hapo!changu pia si kizuri sana ila hapa kama ilitakiwa kuwa it's only happening in tanzania.
unless ungetoa hicho s ili ibaki kuwa present simple tense.
Kweli, upo sahihi. Nilipitiwa hapo!
It's only happens in Tanzania!
Serikali inabaka elimu. Jana nilipigiwa simu na Afisa mmoja wa Baraza la Taifa la Mitihani akiniomba msaada wa kisheria.Ni juu ya kutishiwa kwake kufukuzwa kazi kama hatakubali kupitisha matokeo ya darasa la saba 'yaliyotengenezwa'. Afisa huyo wa Idara ya Mitaala,pamoja na vigogo wenzake NECTA,walipokea amri kutoka Mamlaka za juu za nchi wahakikishe kuwa matokeo ya darasa la saba yanavutia. Yeye akaonesha kugomea amri hiyo. Kazi yake iko mashakani.
Sasa ananiandaa niwe Wakili wake pale atakapofukuzwa kazi kwa kugomea kupitisha matokeo yaliyochakachuliwa. Mimi niko tayari.Nimemwambia aendelee kukusanya nyaraka ili tuuwashe moto. Elimu yetu inadhalilishwa,inabakwa,inauliwa.Hatuwezi kukubali.
NB: Matokeo yatatangazwa wakati wowote kuanzia leo
kwani mchezo umeanza leo.
jamani bado tunaona utani tu katika mambo ya msingi,badala ya watu kufanya maamuzi ya kufanya uchunguzi.
Ngoja tusubiri yatoke ili tuthibitishe kauli yako