MATOKEO Darasa la Saba si yenyewe

MATOKEO Darasa la Saba si yenyewe

Akusanye ushahidi wa hayo makaratasi ya matokeo halisi ikiwezekana na scripts chache za wanafunzi ambao anuhakika wamefeli lakini wamepewa marks za bure. He can collect as many as possible ushahidi uwe na nguvu vinginevyo watakufukuza na hutakuwa na ushahidi wa kuwabana,.
ila mpe tahadhari !kama akikamatwa na nyaraka za siri za serikali, bila ruhusa adhabu yake ni 20 years imprisonment
 
huyu bwana anakosea kabisa!na anakiuka miiko ya utumishi wa umma
kama amepewa maagizo kutoka juu anatakiwa atekeleze ,kama anaona kitamtia hatiani akwepe sio kukataa kutamletea matatizo makubwa,maamuzi mengine huwa ya nakuwa kwa maslahii ya nchi si vizuri kuanza kuyatilia shaka
pia huyo bwana anatoa siri za ofisi kwa watu wanjee sio jambo jema kwa mtumishi wa umma aliyekula kiapo cha utii kwa serikali iliyopo madarakani
hata kama kuna mpango wa kumuua mkeo au ndugu yako yoyote ukae kimya kisa mamalaka ya juu imesema na wewe ni mtumishi wa umaa? khaaaa
 
Hii ishu ni ya kweli, hata mimi kuna Afisa Elimu rafiki yangu amekiri matokeo ya mwaka huu ni mabay kupita kiasi
 
Serikali inabaka elimu. Jana nilipigiwa simu na Afisa mmoja wa Baraza la Taifa la Mitihani akiniomba msaada wa kisheria.Ni juu ya kutishiwa kwake kufukuzwa kazi kama hatakubali kupitisha matokeo ya darasa la saba 'yaliyotengenezwa'. Afisa huyo wa Idara ya Mitaala,pamoja na vigogo wenzake NECTA,walipokea amri kutoka Mamlaka za juu za nchi wahakikishe kuwa matokeo ya darasa la saba yanavutia. Yeye akaonesha kugomea amri hiyo. Kazi yake iko mashakani.

Sasa ananiandaa niwe Wakili wake pale atakapofukuzwa kazi kwa kugomea kupitisha matokeo yaliyochakachuliwa. Mimi niko tayari.Nimemwambia aendelee kukusanya nyaraka ili tuuwashe moto. Elimu yetu inadhalilishwa,inabakwa,inauliwa.Hatuwezi kukubali.

NB: Matokeo yatatangazwa wakati wowote kuanzia leo

Kiwanda kazini, eti wakili anatoa siri ya mteja wake?

Kama wewe ni wakili wa ukweli haswa, ndio maana Tanzania kesi haziishi mapema.
 
Gharama za ujinga zinazidi kuigharimu nchi! Yawezekana likawa si geni,wanachokifanya ni kuficha uchafu chini ya zulia..kwa faida ya nani?
 
Serikali inabaka elimu. Jana nilipigiwa simu na Afisa mmoja wa Baraza la Taifa la Mitihani akiniomba msaada wa kisheria.Ni juu ya kutishiwa kwake kufukuzwa kazi kama hatakubali kupitisha matokeo ya darasa la saba 'yaliyotengenezwa'. Afisa huyo wa Idara ya Mitaala,pamoja na vigogo wenzake NECTA,walipokea amri kutoka Mamlaka za juu za nchi wahakikishe kuwa matokeo ya darasa la saba yanavutia. Yeye akaonesha kugomea amri hiyo. Kazi yake iko mashakani.

Sasa ananiandaa niwe Wakili wake pale atakapofukuzwa kazi kwa kugomea kupitisha matokeo yaliyochakachuliwa. Mimi niko tayari.Nimemwambia aendelee kukusanya nyaraka ili tuuwashe moto. Elimu yetu inadhalilishwa,inabakwa,inauliwa.Hatuwezi kukubali.

NB: Matokeo yatatangazwa wakati wowote kuanzia leo

uamuzi uliochukua ni wa kizalendo sana. ila je umejipanga kumbuka serikali ya magamba iko tayari kukumwabwepande kwa gharama yoyote ile. labda nawe uombe msaada zaidi kuongeza nguvu.
 
hata akipewa maamuzi ya kujinyonga atafanya hivyo eti kwasababu yametoka juu? Stupid!!!!
 
Serikali inabaka elimu. Jana nilipigiwa simu na Afisa mmoja wa Baraza la Taifa la Mitihani akiniomba msaada wa kisheria.Ni juu ya kutishiwa kwake kufukuzwa kazi kama hatakubali kupitisha matokeo ya darasa la saba 'yaliyotengenezwa'. Afisa huyo wa Idara ya Mitaala,pamoja na vigogo wenzake NECTA,walipokea amri kutoka Mamlaka za juu za nchi wahakikishe kuwa matokeo ya darasa la saba yanavutia. Yeye akaonesha kugomea amri hiyo. Kazi yake iko mashakani.

Sasa ananiandaa niwe Wakili wake pale atakapofukuzwa kazi kwa kugomea kupitisha matokeo yaliyochakachuliwa. Mimi niko tayari.Nimemwambia aendelee kukusanya nyaraka ili tuuwashe moto. Elimu yetu inadhalilishwa,inabakwa,inauliwa.Hatuwezi kukubali.

NB: Matokeo yatatangazwa wakati wowote kuanzia leo

Kama hali ni mbaya basi itazidi kuwa mbaya, mfumo wa elimu uko kisiasa zaidi kuliko kielimu !!
 
Kama ndivyo basi tumekwisha,elimu ikishachanganywa na siasa hakuna tena litakaloendelea.Vp safari hii hakuna underground mwingine wa Bongo fleva aliyechana mistari?.
 
Ngoja tusubiri yatoke ili tuthibitishe kauli yako

matokeo ya karibu nchi nzima yanaonesha walio faulu ni asilimia 23 na serikali inataka wachukuliwe mpaka walio pata alama mpaka 70 kati ya 250 yani hata aliye pata 28% atachaguliwa kwenda kidato cha kwanza ili shule za kata zisikose wanafunzi. ELIMU YETU IPO MIKONONI MWA WAHUNI.
 
Back
Top Bottom