MATOKEO Darasa la Saba si yenyewe

Ni kweli kabisa matokeo ya darasa la saba yalikuwa yatangazwe tangu last week lakini ilishindikana na zoezi lilianza upya kwa kushusha kiwango cha ufaulu kutoka 100 hadi 70 kwani wanafaunzi wamefeli sana. sababu ya kufeli ni mfumo wao wa mtihani wa mwaka huu, maswali ni ya kuchagua jibu sahihi then unashade. watoto wa std7 na kushadeee wapi na wapi
 
Tukumbuke kuwa Mtihani wa darasa la Saba ulifanyika kwa kutumia mfumo unaoitwa OMR [Optical Mark Reader] ili mashine hiyo itumike kusahihishia mtihani. Je kweli wanafunzi hasa huko vijijini walipewa mazoezi ya kutosha ili kufanikisha zoezi hilo? Maana kila Waziri wa Elimu anayekuja lazima aje na jambo la kwake kutoka Kichwani. Tutakumbuka jinsi Joseph Mungai alivyofuta masomo ya biashara na kilimo, baadae masomo hayo yakaja yakawa ni mzigo kwa walimu wanaoenda kuyafundisha katika vyuo. Sijui kama Mungai alitaka watu wasilime wala kufanya biashara. Tanzania tufufuke!!!!!!!
 
Reactions: ilu
..........system mpya iliyotumika wakati wa kufanya mtihani ndiyo itawa-cost.
 
Hayo ni mambo ya kawaida kabisa kwa serikali isiyo makini na kutaka kujisifia majukwaani.tumejenga shule nyingi wanafunzi wengi na mengine mengi.tunawalea hao tuwaweke pembeni.
 
..mkuu sijakupata vizuri; Huyo Bwana anatakiwa kuyapitisha ili yatangazwe; Lakini yeye hataki kwa kuwa anaamini yamechakachuliwa; lakini bado unasema yatatangawa, Je! amekubali kuyapitisha au yupo mwingine ambaye atapitishe? Kama yeye hajapitisha na ametokea mwingine ameyapitisha na yametangazwa, basi ninamshauri kwa ualendo yeye atupatie yale yaliyokuwa halisi kabla hayajachakachuliwa!! Hapo mjadala utakuwa ndio umenoga; sio sasa!!MAONI YANGU TUU
 
kwani hayo matokeo yakoje jamani watangaze kama yalivyo,wakileta ujinga wao wakuchakachua itakuja kula ksao 2 kwani watachakachua mpaka wapi secondary kitajulikana 2,mwisho wa cku nusu ya darasa hawjui kusoma na kuanika
:nimekataa

"PROBLEMS CAN NOT BE SOLVED BY THE SAME LEVEL OF THINKING WHICH CREATED THEM"
 
mwanasheria kanjanja unayetoa siri za mteja wako mliyeongea nae in comfidence
 
this is terrible completely terrible sasa na dogo wangu ndio kamaliza nipo nae hapa home tunayasubiri hayo matokeo ila kama hali yenyewe ndio iyo itakuwaje coz ctopata the real standard aspect of her academia ability and capacity hence i will fail to develop her in the way she deserve OOOH GOD help Us...... Ivi ni makusudi serekali wanafanya ama inakuwaje kututengenezea mabomu
 

nina hamu sana na hayo majibu
 
Wadau mlikuwa mnase,a matokeo si maziri, mbona Waziri alitangaza jana akasema ni mazuri zaidi kuliko mwaka 2011?
 
it is not a matter of possibility, hiyo ndiyo kweli na haina longolongo, ,matokeo ilikuwa yatangazwe mapema novemba. Ila kutokana na kufeli kwa wanafunzi kwa kishindo waliziliwa kutangaza mpaka wachakachue il kujaza shule za sekondari watu ambao hawana uwezo
 
walimu mnatafuta sifaaaa......mnatulazimisha tujue kwamba mmegoma?????
basi kama matokeo sio yenyewe wewe toa ya kwako ambayo ndiyo sahihi, kama huna acha majungu na umbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…