Ilu
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,198
- 1,648
Ni kweli kabisa matokeo ya darasa la saba yalikuwa yatangazwe tangu last week lakini ilishindikana na zoezi lilianza upya kwa kushusha kiwango cha ufaulu kutoka 100 hadi 70 kwani wanafaunzi wamefeli sana. sababu ya kufeli ni mfumo wao wa mtihani wa mwaka huu, maswali ni ya kuchagua jibu sahihi then unashade. watoto wa std7 na kushadeee wapi na wapi