Matokeo Haya ya Yanga yanaashiria nini?

Wakuu kwema?

Yanga leo imefikia kilele cha Wiki wanayoiita wenyewe ya Wananchi. Wametambulisha wachezaji wao wa timu ya wakubwa huku timu zao zote 3 (Wakubwa, Vijana na Wanawake) zikicheza michezo ya kirafiki...
Kwani mlitegemea ushindi mechi ya leo!! acheni utani nyie mnaweza boashara ya jezi tu lakini mpira hakuna kitu
 
Kwa hii team yetu vipigo ni vilevile
Yanga ni ya kawaida Sana. Hata wachezaji wake wako average tu, hakuna exceptional pale. "Wapigaji" wanatumia fursa kuaminisha kua Mchezaji fulan ni mkubwa hivyo wanapiga pesa kwenye usajili.

Kinachoibeba Yanga labda ni ukongwe wake, lakini uwanjani ni nyepesi sana. Kuna technical issues ambazo still bado hazijafanyiwa kazi. Tutaiona Yanga ile ile ya msimu ulioisha iliyoshindwa kuizuia Simba kuchukua ubingwa ikiwa na mechi mkononi.
 
Wakuu kwema?

Yanga leo imefikia kilele cha Wiki wanayoiita wenyewe ya Wananchi. Wametambulisha wachezaji wao wa timu ya wakubwa huku timu zao zote 3 (Wakubwa, Vijana na Wanawake) zikicheza michezo ya kirafiki...
Ataanza na river united kwa kupigwa nyumbani kisha kuzokwa nigeria
 
Yanga ni ya kawaida Sana. Hata wachezaji wake wako average tu, hakuna exceptional pale. "Wapigaji" wanatumia fursa kuaminisha kua Mchezaji fulan ni mkubwa hivyo wanapiga pesa kwenye usajili....
Exceptionals wanapatikana wapi?
 
Wakuu kwema?

Yanga leo imefikia kilele cha Wiki wanayoiita wenyewe ya Wananchi. Wametambulisha wachezaji wao wa timu ya wakubwa huku timu zao zote 3 (Wakubwa, Vijana na Wanawake) zikicheza michezo ya kirafiki...
Hutoporo Efu Sii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…